Hivi kuna mgao wa Umeme?

Hivi kuna mgao wa Umeme?

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Kesho narudi zangu Kibaha kwa style hii.

Lete source ya taarifa yako Mkuu tafadhali
Hii ndio Tz ya viwanda sasa tangia mwaka 2010 mtwara haikuwahi kuwa na shida ya umeme.
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Kesho narudi zangu Kibaha kwa style hii.

Lete source ya taarifa yako Mkuu tafadhali

Tanesco

Kwa sasa wanatayarisha ratiba ya mgao, kuanzia kesho wananchi wa Mtwara na Lindi watatangaziwa.
 
Tanesco

Kwa sasa wanatayarisha ratiba ya mgao, kuanzia kesho wananchi wa Mtwara na Lindi watatangaziwa.
Ok Mkuu. Hata hivyo nitaondoka na bombadier ya kesho. Mpaka mwakani nitarudi tena.[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mwanza....mgao una wiki.

Sijui Bwawa la Mtera hakuna maji au Mafuta mazito wamekula hela?

Ngoma wanakata saa 3 asubuhi kurudi ni saa 12 jioni.

Hili limetokea pia miezi 2 iliyo pita. Na limejirudia tena Jmosi , hadi leo Ijumaa tarehe 13/10... Nasubiria nione na kesho vipi!!!
 
Karibia wiki hii yote maeneo ya Ilala tena mpaka kwa ofisi ya mkuu wetu Makonda umeme nao umekatika wiki hii yote,Kuondoka kwa Mzee Muhongo kunachangia sana huu mgao kuwepo kwani jamaa alikuwa mkali sana kwa mameneja wote wa Tanesco
Kalemani atalifanyia kazi hilo.
 
kuna mgao usiojulikana naona hawataki ku expose hili kwasababu hii ni serikali isiyo na madoa
 
Habari wandugu?

Samahani naomba kuuliza kwa anayejua,

Hivi mgao wa Umeme umeanza tena?

Maana sielewi, tangu Baraza la Mawaziri lifanyiwe marekebisho huku kwetu Umeme unakatika kila siku Kuanzia SAA 12 JIONI hadi SAA 5 USIKU.

Hebu tujulishane kama na huko kwenu hali ni kama huku.

Mimi naona tu kwamba kuna mgao wa akili mbovu katika Vichwa vya Wafanyakazi na Watendaji wengi wa Tanesco nchini.
 
Mtwara hali ni mbaya sana, siku ya tatu hakuna kazi imefanyika. leo tena WAMEKATA
 
Tanesco walipaswa wawataarifu Wateja wao kwamba ss tunaanza mgao labda sababu maji yamepungua au majenereta mabovu ss kukaa kimya maana yake nini kisha kuanza mgao WA kuvizia hii sio sawa naona wanapingana na kauli ya Mhe raisi hapa kazi tu.
 
Ni heri tuwaombe IPTL angalau wawashe generators zao tusogee kidogo mpk mvua zitakaponyesha!
 
Back
Top Bottom