Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe, lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi huyo. Nauliza tena hivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?
Watu wanatumia madawa waolewe we unadhani effect gani zinaweza tokea.
Watu wanatumia madawa waolewe we unadhani effect gani zinaweza tokea.