Hivi kuna mapenzi siku hizi?

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe, lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi huyo. Nauliza tena hivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?

Watu wanatumia madawa waolewe we unadhani effect gani zinaweza tokea.
 
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe,lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi uyo!!! Nauliza tena ivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?
Kila nikipost inaji attach hii moderate staki kabisa ana kazi ya kufuta nyuzi zangu kila siku nikipost.
 
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe,lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi uyo!!! Nauliza tena ivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?
Watu wanatumia madawa waolewe we unazani effect gani zinaweza tokea.

Wanaweke % kubwa ni wateja wa waganga wa kienyeji na wazee wa upako na manabii.
 
Get the money

Get the women
JamiiForums234549312.jpg
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Leo kuna rafiki angu nilimsikia akiongea kwenye simu na mtu flani ana mpango wa kumfanyia mchumba alienae madawa ili amuoe,lakini sio ili tu kuna rafiki angu flani nae aliachwa alikuwa na maumivu ya mapenzi sana akanambia ana hitaji kwenda kwa ostadhi asome dua kwaajili ya kumrudisha mpenzi uyo!!! Nauliza tena ivi mapenzi yapo au kumebaki kulogana?
Watu wanatumia madawa waolewe we unazani effect gani zinaweza tokea.
Sasa kuroga ili kumrudisha mpenzi na kusoma albadili ili mpenzi arudi manake ni kupambAnia penzi kwa Udi na Uvumba na hiyo ndo maana ya MAPENZI
Kwahiyo wanaofanya hvyo wapo sahihi tu
 
Mapenzi - ni kufanya mapenzi tu,
Labda uliza kama kuna Upendo wa Dhati/kweli?
 
Back
Top Bottom