Hivi kuna kundi linampenda huyu mtukufu?

tusionacho

JF-Expert Member
Nov 23, 2016
274
514
Huu utawala wa hapa Tanzania nani anafurahia
Waandishi wa habari
Wanafunzi chuo kikuu
Wananchi wa kawaida
Watumishi wa serikali
Bunge
Wasafirishaji
Wafanyabiashara
Watu wa utalii
Mabenki
Wafanyakazi wa bandari
Mahakama
Viongozi wa dini
Wamiliki shule binafsi
Wakulima
Wafugaji
Wazanzibar
Wapenda katiba mpya
Nani kati ya hao?
 
Huu utawala wa hapa Tanzania nani anafurahia
Waandishi wa habari
Wanafunzi chuo kikuu
Wananchi wa kawaida
Watumishi wa serikali
Bunge
Wasafirishaji
Wafanyabiashara
Watu wa utalii
Mabenki
Wafanyakazi wa bandari
Mahakama
Viongozi wa dini
Wamiliki shule binafsi
Wakulima
Wafugaji
Wazanzibar
Wapenda katiba mpya
Nani kati ya hao?
Mimi nafurahia sana sana tu
 
Huu utawala wa hapa Tanzania nani anafurahia
Waandishi wa habari
Wanafunzi chuo kikuu
Wananchi wa kawaida
Watumishi wa serikali
Bunge
Wasafirishaji
Wafanyabiashara
Watu wa utalii
Mabenki
Wafanyakazi wa bandari
Mahakama
Viongozi wa dini
Wamiliki shule binafsi
Wakulima
Wafugaji
Wazanzibar
Wapenda katiba mpya
Nani kati ya hao?
Wanao fata sheria...na watenda haki watampenda tu...majizi mafisadi hayawezi mpenda
 
Wapiga dili watamchukia tu hakuna namna kwa vile masilahi yao yameguswa lakini siyo watenda haki na maendeleo.Hawa tunampenda na tunaomba aendelee na msimamo wa kutumbua majipu ili kurudisha maadili, nidhamu na heshima ya nchi itakayotuwezesha kuingia uchumi wa kati.
 
Huu utawala wa hapa Tanzania nani anafurahia
Waandishi wa habari
Wanafunzi chuo kikuu
Wananchi wa kawaida
Watumishi wa serikali
Bunge
Wasafirishaji
Wafanyabiashara
Watu wa utalii
Mabenki
Wafanyakazi wa bandari
Mahakama
Viongozi wa dini
Wamiliki shule binafsi
Wakulima
Wafugaji
Wazanzibar
Wapenda katiba mpya
Nani kati ya hao?
Labda kundi la VIONGOZI WA DINI hapo ndio wameshasema utawala wa Mkulu upo vizuri
 
Shule binafsi wanampenda maana wateja wameongezeka kwakua wazazi hawako tayari kuwapeleka watoto wao kwenye Elimu Ujinga
 
Back
Top Bottom