Hivi kuna kombi ngumu kama pgm

mbona watu tulipiiga pale Mazengo High School na tukatoka vizuri tu.kaza buti
 
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK

Ndo gaget gani hiyo? au mimi ndo nimepotea njia
 
hakuna comb gumu bali kuna vichwa vigumu na vyepesi wenye vichwa vyepesi ndio wale wanaosoma pcm pgm&pcb na kufaulu
 
hakuna comb gumu bali kuna vichwa vigumu na vyepesi wenye vichwa vyepesi ndio wale wanaosoma pcm pgm&pcb na kufaulu vzr
 
kombi ndio kitu gani??
na pgm bdo nini?

Volkswagen kombi au beetle
62T3vqM4WNwAAAAASUVORK5CYII=
 
kwa wanaobisha then quit crying dat life z difficult,cause u olready said t.nothng z difficult ni kichwa chako 2. Ryt؟Correct me f i،m wrong gentlemen!
 
Physics nilipata A, Geography nilipata A, BAM nilipata A......ILA NIMEGUNDUA KOMBI NGUMU NI 'MAISHA'...!

Duh. Bam si huwa mwisho s. Af ww bam umepata a! Duh.

Then pgm hawasomi bam. Bam ni pcb, cbg, hge na eca ! Acha kutudanganya ww
 
wadau nadhan weng mmemaliza f6 na wengi humu hata hamkufikiria kuigusa pgm mana mlijua ni kombi kiboko hivi had saiz kuna kombi ngum kama pgm n.b nimepiga eca koabi rahc WADAU NAITAJI FEEDBACK

Ugumu wa PGM uko wapi? Sema ni comb ya vilaza...
 
mkuu ulfkaa advance.! Je 4m3 uliendelea kuchukua science.? Kama yote sawa taja jna lashule ulzosoma.
Hiyo sayans unayoisema nimeisoma mpaka form 4 na nilifaulu, advance nimesoma economics, maths na geography, unajua PGM wanachukua vilaza, mtu ana D D D au C D D, anasoma PGM kwanini asilambe 4 au zero? Hata mkisema physics ngumu, huyo mtu kwanini asifaulu Maths na Geography?
 
Back
Top Bottom