Hivi kuna kitu ambacho wachina hawali?

Wanakula mpaka kaa, konokono, mbwa, mamba, kobe tena wanakaanga vizuri na kujaza viungo kuvutia ulaji

Sasa kaa, kononkono wanashinda gani?
Hawa kononkono tunao wadharau ndio delicacy kule ufaransa.

Utamu wa kaa unashangaa?
Wewe ni mwanaume kweli?

Mbwa mbona chakula kizuri kule Iringa, mbona hushangai punda kuliwa kule Singida
 
Snail roast
 
Kila kiumbe duniani kinaliwa tunatofautiana na mitazamo za kimapokeo na mazingirs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…