Hivi kuna Haja ya Wabunge kukaa Vikao vya Bajeti???

Lancashire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,057
10,365
Habari zenu wakuu,

Nimewasikiliza wabunge wengi wakilalamika kwamba Fedha za maendeleo wanazopitisha hazifiki kwenye halmashauri kama zinavyopitishwa.

Hilo ni moja la pili Mh.rais imekuwa ni kawaida sasa kutoa fedha kwenye mega project nyingi hapa nchini kwa utashi wake bila kupitia chain of decision jambo ambalo lina uzuri wake na ubaya wake.

Swali ninalojiuliza na ambalo ningependa kupata maoni yenu je.kuna haja ya kuwa na Vikao vya kupanga Bajeti ?

Karibuni kwa mjadala ambao ni constructive.
 
Back
Top Bottom