Hivi kuna haja ya kutumia css na html kwa ujio wa boostrap studio

Hivi kuna haja ya kutumia css na html kwa ujio wa boostrap studio

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,772
Reaction score
35,771
Wadau kama kichwa habari kinavyosema!

Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!

Je kuna haja ya kujifunza au kutumia html na css?? Vipi bado wordpress itakua na nguvu tena???

Naona wazungu wameamua kurahisisha front end development!!
 
Nilijaribu kuitumia ila haikunipa good response maybe ni kwa sababu ni mara ya kwanza na sijaizoea
 
Yaa ipo haja ya kujua kwanza css na html ukielewa vizuri itakua rahisi kutumia bootstrap. Bootstrap unacheza tu na class, div, span kama unajua zinafanya mchezo umeisha na utapata responsive web.
 
haja hipo, je utaconnect je elements za html na js
 
Wadau kama kichwa habari kinavyosema!

Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!

Je kuna haja ya kujifunza au kutumia html na css?? Vipi bado wordpress itakua na nguvu tena???

Naona wazungu wameamua kurahisisha front end development!!
Mkuu lazima kuijia css na html ili kutengeneza kitu tofauti na wenzio. Ili ifanye custom changes lazima ujue css, javascript, na html. Vinginevyo siku moja utakuja kukwama kutengeneza kitu chenye features flani special for specific purpose and look.
 
Yaa ipo haja ya kujua kwanza css na html ukielewa vizuri itakua rahisi kutumia bootstrap. Bootstrap unacheza tu na class, div, span kama unajua zinafanya mchezo umeisha na utapata responsive web.
Anachoongea huyu mleta thread ni bootstrap studio na sio bootstrap ile ya twitter
 
Wadau kama kichwa habari kinavyosema!

Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii kitu inaitwa bootstrap studio! Yani una drag na ku drop items then unajipatia website yako murua kabisa!!

Je kuna haja ya kujifunza au kutumia html na css?? Vipi bado wordpress itakua na nguvu tena???

Naona wazungu wameamua kurahisisha front end development!!
Css na html ni lazima. Tools kama hiyo bootstrap( ingawa sijawahi kuitumia) hiyo ni layman way of making a webpage/site.

Zipo nyingi kama hizo; WYSIWYG wb builder, ARTISTEER etc.

Hizi software hazikupi full control/ decision on what you want. Utatengeneza Web zinazofananafanana. Na hutaweza kufanya kitu professional. Na pia hutakuwa na uhuru wa kucheza na source code kwa sababu hata baada ya design utashindwa kuEdit kwa kutumia HTML editor kama vile Dreamweaver na pia ni vigumu kujua mpangilio wa StyleSheet sections kwa sababu hukuitengeneza mwenyewe.
 
Html inaweza kuwa muhimu ila java sio kiivo kwenye web dev especially kwa front end

Bado nimeelewa umejifunzia wapi programming. Kumbe ni 'self taught'

Sema nini, punguza lawama kwa wenzio wanaokuja na new ideas.
 
Back
Top Bottom