hivi kuna faida gani kumfollow mtu JF?

Moja,Ni njia rahisi ya kujua mtu uliyem-follow kapost au ka-comment nini na wapi.

Pili, mtu anaweza kuweka privacy kuwa apokee PM kwa watu aliowafollow pekee.

Hizo ndizo ninazozijua.
naonaga kwenye story za The bold anatag watu kibao. na wengine utasikia "uwe unanitag" si wangemfollow tu kama ingekuwa hivyo unavyosema?
 
naonaga kwenye story za The bold anatag watu kibao. na wengine utasikia "uwe unanitag" si wangemfollow tu kama ingekuwa hivyo unavyosema?
Naam. Mkuu wakiku-tag maana yake unapata direct notification that you are tagged in a certain post.

Lakini hii ya kufollow ni mpaka pale utakapoamua mwenye kuiendea News Feed yako na kujionea. Hakuna direct notification.

Karibu Mkuu.
 
Back
Top Bottom