Kuna dawa ya kuongeza 'libido' hamu ya tendo kwa mwanamke

situmai

Member
Jun 29, 2012
85
18
kwa mwanamke kuna dawa ya kuongeza hamu ya kufanya sex au nini kifanyike kama hamu huna kabisa?
 
kwa mwanamke kuna dawa ya kuongeza hamu ya kufanya sex au nini kifanyike kama hamu huna kabisa?

Nina hakika kila mtu amezaliwa na since za kumufanya asikie hamu ya kila kitu, kuanzia kula na hata kwenye tendo lenyewe ila tofauti ya mtu na mtu ni wapi ambapo mtu anapata ule mtekenyo wa kumfanya apate ile hamu! Yawezekana wewe mwenyewe hujajifahamu ni wapi ukiguswa unapata ile ashiki au mpenzi waku anakurupuka tu bina kukuandaa (Yaani anafanya mapenzi kwa mazoea ya kulenga tundu tu) Jitafiti kwanza mwenyewe.
 
asante kwa ushauri lakini mbona wakati wa nyuma nilikuwa na enjoy tu, sehemu za mtekenyo anazijua ila siku hizi akinishika si feel kitu?
 
Mmeboana sana huko nyuma? May be umemchoka na vioja vyake lkn unajilazimisha tu sababu huna jinsi. Hapo hisia ni mara moja kwa mwezi.
 
Mvuto uliokuwepo haupo tena? Maana hiyo ni kama dalili ya kutomfeel tena mpenzio
 
badilisheni mazingira.style hizo kwa hizo zinachosha au mazingira hayo kwa hayo yanachosha.jaribuni vitu vipya na mazingira mapya,na muwe wawili 2,i mean kama mna watoto,siku hiyo wapelekwe kwa bibi yao.hamu itakuja tu
 
Back
Top Bottom