Hivi kumuota mtu mara kwa mara ina maana gani?

Dnmunisi

Member
Nov 11, 2020
18
16
Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance. Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota na wala ata sio kwamba namuwaza saana wala nini.

Mwenye maoni apo anisaidie jamani
 
Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance.... Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota na wala ata sio kwamba namuwaza saana wala nn....
Mwenye maoni apo anisaidie jamani
Dah huyo mtu usimuache mkabidhi jimbo
 
Kwenye ulimwengu wa roho tunasema ukimuota sana mtu ujue huyo mtu anahitaji muonane. Cha kufanya hapo kama na wewe una-interest na huyo jamaa ongeza kasi ya mawasiliano nae au ukaribu nae unaweza ukapata mume bora hapo.
 
Teh teh teh.....huyu lazima atakuwa mwamba tu.....Sasa hapo sisi wa-roma tunaimbaga
Toa ndugu,toa ndugu
Toa ndugu,toa ndugu

Ulichonacho wewe
Bwana anakuona mpaka rohoni mwako.
 
Kwenye ulimwengu wa roho tunasema ukimuota sana mtu ujue huyo mtu anahitaji muonane. Cha kufanya hapo kama na wewe una-interest na huyo jamaa ongeza kasi ya mawasiliano nae au ukaribu nae unaweza ukapata mume bora hapo.
Mimi imenitokea sana scenario hii, naweza nisionane na mtu (+me/ke) hata mwaka au zaidi, na ikatokea siku tu nikamkumbuka/kumuwaza. Haipiti siku mbili/tatu LAZIMA either nikutane nae au anipigie simu. Hii kwenye ulimwengu wa roho imekaaje?
 
Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance.... Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota na wala ata sio kwamba namuwaza saana wala nn....
Mwenye maoni apo anisaidie jamani
Maoni gani unataka nenda kaMUAMBIE UNAMPENDA acha kujifanya NUNDA
 
Wakuu mimi nina rafiki yangu tulikuaga mabest sana advance lakini tulivyorudi mtaani kila mtu na mishe zake hakuna anayemtafuta mwenzake imetokea tupo nae chuo kimoja sema kozi tofauti ila ukaribu wetu sio sanaa tena kama kipindi kile tukiwa advance.... Sasa inanitokea mara nyingi ninakuwa namuota na wala ata sio kwamba namuwaza saana wala nn....
Mwenye maoni apo anisaidie jamani

Unamuota mkiwa katika hali gani??-- toa maelezo, yaani mfano unamuota mkinywa chai nk.
 
muite mshana
Mi kuna msichana nilikua namuota almost everyday kwenye ndoto zangu yapata miaka mi2 nahisi yani chochote nnachoota na yeye yupo ilinisumbua sana kwakweli halafu ni jirani yangu sio kwamba tuna mazoea sana ni kawaida tu.
Sijawahi kuelewa ina maana gani ila skuizi imeoungua naweza kaa mwezi/miezi sijaota
 
Case yangu na yako zinaendana... Ni msichana mwenzangu kama nilivyosema awali ni rafiki yangu na nilimpenda sana kitambo tulikua karibu sana muda wote lakini muda mrefu sasa umepita ukaribu ni kama umeisha ivii....
Na kwenye ndoto namuota labda tumekaa tuu tunapiga stori kunasiku nimeota ananiomba msamaha na siku nyingine tena nimeota ananiambia nisiondoke
 
Nenda umfate wenda hamna tena physical connection ila kiroho bado mna bond ambayo mlijiwekea kwa kujua ama kutokujua
 
Case yangu na yako zinaendana... Ni msichana mwenzangu kama nilivyosema awali ni rafiki yangu na nilimpenda sana kitambo tulikua karibu sana muda wote lakini muda mrefu sasa umepita ukaribu ni kama umeisha ivii....
Na kwenye ndoto namuota labda tumekaa tuu tunapiga stori kunasiku nimeota ananiomba msamaha na siku nyingine tena nimeota ananiambia nisiondoke
Njoo pm
 
Back
Top Bottom