Hivi kumshika tako mpenzi wako hadharani ni vibaya au?

Umeshasema hadharani, unataka utuaminishe nini umma juu la tako la mpenzi wako una uhuru wa kulifanya chochote, vitu vingine viwe faragha.
 
Ni ulimbukeni na kutokujitambua kwa mtu anaejitambua na kujiheshmu hawezi fanya hivyo mambo ya faragha unayafanya hadharanii.!?
 
Ukifilia kumshika tako kwenye Jamii, Fikiria Pia na Wewe akikushika Uume kwenye jamii hiyohiyo Itakuwaje? Baad ya Kutafakari utajua Jibu sahihi ni Lipi!!
Ila Mke ni mtu wa Kuheshimika kwenye familia na Jamii inayowazunguka, Husimdhauralishe Kwakuwa unakuwa unajidhaurisha na Wewe pia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom