Hivi kumshika tako mpenzi wako hadharani ni vibaya au?

Hahahahahaa nimwkumbuka tukio moja hivii....

Dadii alikiwa anasafiri, kama mjuavyo wapendanao, nikamsindikiza hadi airport, sasa sijui ndo wivu au care hataki Kasie abaki nyuma wakware wakaanza kummezea mate.....

Kwanza kabla hatujashuka kwenye gari nilikula denda taamuuu...😋😋🥰

Halafu akaniambia wewe ruudi sasa mie hapa naweza kwenda. Nikamwambia basi wacha nikalipie kadi ya kutoka, akanisindikiza hadi kibanda cha kulipia parking, mie nikiwa nalipia yeye yuko nyuma yangu akanipiga kibao cha tako like kidali poo 😅😅
Nikajikuta napiga uyowe aaauuuh, kidogo turudi kwenye gari kupiga kamoja.... sema airport noma 🏃🏽‍♀️😅😅

It was fun na ilikiwa mchana kweupee, nikarudi kwenye gari nae akaelekea check in point.

I love my Dadii the way he is and his ways....

Kasinde.
 
Tako lenyewe analoo? Usije mshika mwenzio mgongo ikawa fedhea. Ila kwa ujumla huo ni uhuni,ulimbukeni na ujinga tena ni kumdhalilisha.
 
Back
Top Bottom