BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
BADILI TABIA ,fundi jogoo anapanda mtungi kwa kuwa ana mtoto.
"
Ni kweli,lengo la kutongoza ni pamoja na migegedo,lakini kama ulivyosema hakuna muda maalum.
"
Hii ina maana hata siku hiyohiyo au hata baada ya mwaka mkitaka,lakini mnapolazimishana ndo shida!
Mwanaume sawa... Ila mi mwanamke akinikomalia naanza kuhisi kuna kitu anataka kunikamatisha...
Jamani wana jamvi wenzangu, siku zote huwa nawauliza, "kati ya sikio na kile kipamba cha sikio, kipi huwa chapata utamu?".
sikio ndo linapata utamu tena usipokua makini unaweza hata ukajiumiza
aah, ukiona ivo dem halipi wala nini..binafsi sijawai ona demu mzuri akalazimisha kutiana, hapa kuna uwalakini/
Hehehe wewe naona tunaongea lugha moja...