hii inatokana na kipindi cha 'habari ndiyo hiyo' cha tbc1 jana.
Topic ilikuwa "wanaume wa cku hizi"
sijui mwandaaji wa kipindi aliwaza nini kuleta topic hii (ni mwanaume) ila almost wanawake wote aliowahoji alianza swali la kwanza ...unawachukuliaje wanaume wa siku hizi?...
Majibu ya wanawake sasa... Du!
Wa kwanza ...hawaeleweki, ni waongo, wanatuhadaa...
Wa pili ...wanapenda kulelewa, ni waongo....
Wa tatu ...ni waongo, hawaaminiki...
Kipindi kiliendelea na kati ya wanawake zaidi ya saba waliohojiwa, isipokuwa mmoja, wengine walionyesha kuwa wanaume wa siku hizi ni waongo, hawaaminiki, wanapenda kulelewa. Cha kusikitisha ni kuwa majibu haya yalitoka kwa wanawake wa rika tofauti, waliwepo wadada waliwili ambao kimwonekano walikuwa na miaka kumi+ au early twenties!!! Ni mmoja tu alisema kuwa ni watulivu, wana upendo akitolea mfano mchumba wake.
Hivi kinadada, kwanini hatuaminiani hivyo jamani??!
Hii inatokana na kipindi cha 'Habari ndiyo hiyo' cha TBC1 jana.
Topic ilikuwa "wanaume wa cku hizi"
Sijui mwandaaji wa kipindi aliwaza nini kuleta topic hii (ni mwanaume) ila almost wanawake wote aliowahoji alianza swali la kwanza ...unawachukuliaje wanaume wa siku hizi?...
Majibu ya wanawake sasa... Du!
Wa kwanza ...Hawaeleweki, ni waongo, wanatuhadaa...
Wa pili ...wanapenda kulelewa, ni waongo....
Wa tatu ...ni waongo, hawaaminiki...
Kipindi kiliendelea na kati ya wanawake zaidi ya saba waliohojiwa, isipokuwa mmoja, wengine walionyesha kuwa wanaume wa siku hizi ni waongo, hawaaminiki, wanapenda kulelewa. Cha kusikitisha ni kuwa majibu haya yalitoka kwa wanawake wa rika tofauti, waliwepo wadada waliwili ambao kimwonekano walikuwa na miaka kumi+ au early twenties!!! Ni mmoja tu alisema kuwa ni watulivu, wana upendo akitolea mfano mchumba wake.
Hivi kinadada, kwanini hatuaminiani hivyo jamani??!
Wanawake banaa utafikiri wao huwa ni MalaikaHii inatokana na kipindi cha 'Habari ndiyo hiyo' cha TBC1 jana.
Topic ilikuwa "wanaume wa cku hizi"
Sijui mwandaaji wa kipindi aliwaza nini kuleta topic hii (ni mwanaume) ila almost wanawake wote aliowahoji alianza swali la kwanza ...unawachukuliaje wanaume wa siku hizi?...
Majibu ya wanawake sasa... Du!
Wa kwanza ...Hawaeleweki, ni waongo, wanatuhadaa...
Wa pili ...wanapenda kulelewa, ni waongo....
Wa tatu ...ni waongo, hawaaminiki...
Kipindi kiliendelea na kati ya wanawake zaidi ya saba waliohojiwa, isipokuwa mmoja, wengine walionyesha kuwa wanaume wa siku hizi ni waongo, hawaaminiki, wanapenda kulelewa. Cha kusikitisha ni kuwa majibu haya yalitoka kwa wanawake wa rika tofauti, waliwepo wadada waliwili ambao kimwonekano walikuwa na miaka kumi+ au early twenties!!! Ni mmoja tu alisema kuwa ni watulivu, wana upendo akitolea mfano mchumba wake.
Hivi kinadada, kwanini hatuaminiani hivyo jamani??!
Na wanawake wa siku hizi nao wakoje? Au wao ni malaika na siku zote ni wema, waadilifu, waaminifu, wakweli, wenye heshima, na wenye mapenzi ya kweli?
Umeshakula lunch!??Usiwe na hasira bwana mada inahisu wanaume acha wanawake waponde...next week zamu yetu kusemwa..ntakununulia muda wa dakika 15 hewani useme yote yakukerayo!!
Najali bwana...hapa tu nimekupikia ugali mgumuuuuu na mchuzi wa samaki pia mchicha pembeni!!Toka lini unajali kama nimekula au la? Jana tu umetoka kuninyima ulichopika....mwanamke una roho mbaya wewe.....
Najali bwana...hapa tu nimekupikia ugali mgumuuuuu na mchuzi wa samaki pia mchicha pembeni!!
Kwasababu hamuaminiki!!
Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!
Haabaaa haabaa haabaaa.....kumbe unayajua fika mahitaji ya Nzagamba wa Ikungulyabashashi. Obeja gete nkima one.
Sina uhakika kama umeolewa au una Mchumba/Boyfriend, ila naomba nikuulize kama unaye, je ungeulizwa leo unawachukuliaje wanaume wa siku hizi, na ukatoa jibu kwa reference ya uliye naye au uliyewahi kuwa naye, unadhani jibu utakalotoa ndilo analodhania utatoa? I mean hatashangaa?
Obeja gete nkima one.....???!Embu nitafsirie wakati nakumiminia mtindi kwenye glass!!
Hebu harakisha kumimina huo mtindi bana. Nna njaa mimi .mambo ya tafsiri baadae nkishashiba. Kwanza natoza ushuru kwa huduma za kutafsiri.
Ushuru tena?!Mbona mi sijalipwa kupika??!
Nwy nakubembeza...nitafsirie basiNyaniizzo...pleaeeeeeese!!
Njoo hapa chemba nikwambie.