Hivi kumbe magari yana addiction hivi!

Hivi kumbe magari yana addiction hivi!

Wix86

Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
68
Reaction score
215
Wakuu kuanzia mwaka jana jana nilikuwa na changamoto kubwa ya kipato, kufikia mwezi wa nne nilipata dili ambayo ilihitaji hela ndefu kidogo, ikabidi niuze gari yangu!
Sasa toka hiyo April naona kabisa kuna kitu kinamiss ila najikaza tu, hapa ndo nimekuja kuelewa gari ni hitaji la msingi , hata kama hutoki nalo basi liwepo tu! Usipokuwa na gari kuna kuchukuliana poa kiboya sana.

Ila siyo mbaya, nshaagiza lingine october mwanzoni chuma kinafika, angalau heshima irudi mahala pake tena!
 
👇🤣🤣🤣
 
Yeah!...gari lilikuwa sehemu kubwa kwenye shughuli zako ndio maana pengo umeliona ulipolikosa....ila ungezoea tu hiyo hali baada ya muda kupitia.
 
Wakuu kuanzia mwaka jana jana nilikuwa na changamoto kubwa ya kipato, kufikia mwezi wa nne nilipata dili ambayo ilihitaji hela ndefu kidogo, ikabidi niuze gari yangu!
Sasa toka hiyo April naona kabisa kuna kitu kinamiss ila najikaza tu, hapa ndo nimekuja kuelewa gari ni hitaji la msingi , hata kama hutoki nalo basi liwepo tu! Usipokuwa na gari kuna kuchukuliana poa kiboya sana.

Ila siyo mbaya, nshaagiza lingine october mwanzoni chuma kinafika, angalau heshima irudi mahala pake tena!
Baada ya kugundua hilo jitahidi hilo likifika uagize lingine ili usipitie tena hio changamoto iwapo utauza moja au litaharibika.
 
Back
Top Bottom