Hivi kumbe bado hili zoezi la kuchimba mchanga lipo?

Ksuley

JF-Expert Member
Dec 18, 2015
1,166
445
Hbr Ya Jioni Wanajamvi, Niko Zangu Hapa Kagongwa -Kahama, Kilichonishangaza Ni Hili Zoezi La Kusomba Mchanga (UDONGO) Kutoka Migodini, Bado Linaendelea Kama Kawaida Tu!!! Kuna Magari Karibia 20 Yamebeba KONTENA, Ambazo Zinapelekwa Dar!! Je, Zoezi La KUZUIA LIMESHINDWA!!!!!!??
 
Zoezi limekuwa likifanyika kwa takribani miaka ishirini, unafikiri ni rahisi kulisimamisha kwa siku 60 za Magufuli?
 
Yaani Hii Ndio Athari Ya Mikataba Mibovu!! Maana Hizo Lori Ambazo Zimebeba Kontena Za Mchanga Kibao!!!
 
Kwa mlioko huko kahama..hivi kagongwa mbele au nyuma ya Kahama?
 
Hbr Ya Jioni Wanajamvi, Niko Zangu Hapa Kagongwa -Kahama, Kilichonishangaza Ni Hili Zoezi La Kusomba Mchanga (UDONGO) Kutoka Migodini, Bado Linaendelea Kama Kawaida Tu!!! Kuna Magari Karibia 20 Yamebeba KONTENA, Ambazo Zinapelekwa Dar!! Je, Zoezi La KUZUIA LIMESHINDWA!!!!!!??

Kwa uelewa wangu kuna taasisi ya kiserikali ambayo ipo na jukumu la kuhakiki madini yote yaliyomo kwenye makontena na kupigiwa mrabaha stahiki. Na kwa taarifa zilizopo hiyo kodi ya serikali hulipwa kabla ya kusafirishwa hiyo comvoy. Nadhani ukipitia website ya wizara ya nishati na madini kuangalia makala zake na taasisi zake unaweza jiridhisha pia. Au hata huko kagongwa ukifika Isaka kwa watu wa TRA utapata ukweli wote. Au ukifika ofisi za madini za Kahama utapata ukweli wote na stahiki zinazolipwa.
 
Oky Nimekusoma Mkuu! So Wananianisha Kuwa Wataalam Au Maafisa Wetu Wanafanya Tathamini Ya Mrabaha Na Kodi Ya SERIKALI, Kabla Hata Mchanga Huo Haujasafishwa!!!?? Na Mh. President Alipokuwa Akilalamika Kuhusu KUENDELEA Kufanyika Kwa Zoezi Hilo, Pale BUNGENI, Siku Ambayo Akaizindua BUNGE!!! Na Yeye Alikuwa Hafahamu Chochote Kuhusu Mchakato Mzima!!!!!?? Basi Sawa Kama SERIKALI Inapata Kodi STAHIKI Na Mrabaha Wake!!!!!
 
Ndiyo Mkuu, aksante kwa kupata ka mwanga hako. Ni ukweli usiopingika hata mimi mwanzo niliwazaga kuwa michanga inatoka tu. Nilijipa jukumu la kuperuzi na kujua ukweli katika mishemishe zangu kupitia mitandao na huko na huko na baadhi ya washikaji wa migodini, uhalisia nilioupata ni kuwa jina la hiyo Product kuitwa Mchanga wa dhahabu ni mazoea tu ya kibongobongo ila inaitwa "COPPER CONCENTRATE" na kwa Kiswahili inaitwa "MAKINIKIA YA SHABA" ikiwa na maana kwenye kontena asilimia kubwa ya madini yaliyopo ni COPPER(SHABA) haya mengine ya fedha na dhahabu inakuwa ni kwa kiasi kidogo sana. Lakini kwenye malipo ya mrahaba madini yote yaliyojitokeza kwenye test za maabara yanapigiwa kodi kulingana na bei ya soko ya wakati huo.
Mmmh hilo la Presidaa kuongelea bungeni siwezi lisemea yawezekana wasaidizi wake hawakumpa taarifa za kina. Maana katika kujihabarisha kwangu nikajua kuwa kuna wakala unaosimamia hayo mambo, wanaitwa Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) kupitia website yao iliyo wazi kwa public kuna publication yao moja imo humo inaitwa "A Study on Viability to Construct a Copper Concentrate Smelter in Tanzania" ya FEBRUARY 2011. Hitimisho lao ilikuwa kwa hayo Makanikia ya Shaba yanayopatikana nchini hayajitoshelezi kwa gharama za uwekezaji wa mtambo wa kuchenjulia. Maana ni migodi miwili tu nchini wenye aina ya hayo MAKANIKIA YA SHABA, ni Bulyanhulu na Buzwagi tuu.
 
Back
Top Bottom