Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Wanapinga kula kitimoto ila kuviingilia vitoto vidogo vya kiume ni sunaHabari za muda huu waungwana,
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama:
Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu?
Je dhambi kama kuzini, kuua, kulawiti, kuroga nk. Ni dhambi ndogo kuliko kula nguruwe?
Kwa kumalizia,Je nchi ya Saud arabia ikiamua kuruhusu ulaji wa kitimoto kwa wageni kama ilivyoruhusu unywaji wa pombe inaweza kutengwa na nchi zingine za kiarabu? Kama jibu ni ndiyo je pombe ni halali na kitimoto ni haramu?[emoji120][emoji1666]
Mkuu ni uamuzi tu wa kuchagua dhambi zakoHabari za muda huu waungwana,
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama:
Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu?
Je dhambi kama kuzini, kuua, kulawiti, kuroga nk. Ni dhambi ndogo kuliko kula nguruwe?
Kwa kumalizia,Je nchi ya Saud arabia ikiamua kuruhusu ulaji wa kitimoto kwa wageni kama ilivyoruhusu unywaji wa pombe inaweza kutengwa na nchi zingine za kiarabu? Kama jibu ni ndiyo je pombe ni halali na kitimoto ni haramu?[emoji120][emoji1666]
Muhuni gani tena huyo amekukataza kubugia ukipendacho?Achana naye.Fanya mambo yako na asikubughudhi.Habari za muda huu waungwana,
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya suala hili la kula nguruwe (kitimoto) moja kati ya mambo yanayonitatiza ni kama:
Je nguruwe ndiyo mnyama pekee aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu au kuna wanyama wengine? Kama ndiyo mbona nguruwe ndiyo maarufu?
Je dhambi kama kuzini, kuua, kulawiti, kuroga nk. Ni dhambi ndogo kuliko kula nguruwe?
Kwa kumalizia,Je nchi ya Saud arabia ikiamua kuruhusu ulaji wa kitimoto kwa wageni kama ilivyoruhusu unywaji wa pombe inaweza kutengwa na nchi zingine za kiarabu? Kama jibu ni ndiyo je pombe ni halali na kitimoto ni haramu?[emoji120][emoji1666]
Kwamba mtu asipokula kitimoto wewe unaumia?Wanapinga kula kitimoto ila kuviingilia vitoto vidogo vya kiume ni suna
Una akili Sana mkuuUkifuata maandiko ya kwenye Biblia, agano la kale, utakuta list ya wanyama na viumbe tulivyokatazwa ni ndefu.
Haturuhusiwi sungura, farasi, punda, ngamia, mbwa, paka, chura, pweza, ngisi, dagaa kamba, nyangumi, na vingine vingi.
Kwa maoni yangu, nguruwe anatajwa sana kwa sababu kwa miaka 2000 - 4000 huko nyuma, nguruwe alikuwa mrahisi kumpata na kumchinja kwa kuwa alikuwa hana manufaa mengi kwa wanadamu kama wanyama wengine kama farasi na ngamia, ambao walikuwa usafiri, wanatumika vitani, nk. Na kwa kuwa nguruwe ni mtamu kinyama, mtu kushawishika kumla ilikuwa rahisi.
Nadhani pia jamii nyingi za kale hazikuwa na ujuzi wala teknolojia ya kuwinda au kuvua vitu vingine haram kama pweza na ngisi, hivyo basi hata mitume kama akina Paulo hawakuvikuta vimezagaa kwenye magenge ya Galilaya kama ambavyo vimezagaa kwenye magenge yetu miaka hii.
Kula nguruwe ni ukatiri hivyo ni dhambi lakini kula nyama ya nguruwe ni halal kwa watu wote.Habari za muda huu waungwana,