jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
- Thread starter
- #21
Mkuu kwa hiyo ukishaambiwa kuwa sheria ipo ndo utaondoka bondeni?
Mimi nadhani, ni wajibu wa serikali kuchukua hatua madhubuti regardless kuwa sheria ipo au haipo ikionekana kuwa kuendelea kukaa bondeni kutaathiri raia wake. Ni wajibu wa serikali kutoa security kwa raia wake inapobidi hata nguvu ya dola yaweza kutumika.
iselamagazi, najua unatumia akili kufikiri, ongeza umakini katika kuitumia hiyo akili utuambie nini sababu ya kuwa na sheria! jadili mfano niliotoa kwenye post yangu iliyotangulia, nakuuliza na magari yapigwe marufuku kwa hali yake ya kuwa tayari kutuangusha na kutuua kwenye ajali? kwa madai yako kuchukua pre-emptive steps to minimize casualities if not deaths!!!!!