Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Salam wakuu.
Nimekuwa nikiwaza namna ambavyo serikali inaweza kuona, kusikiliza na kutekeleza kelele /kuandamwa/kusononeshwa/kusemwasema/kukosolewa na watu mbalimbali aidha kwa uwazi kabisa au kwa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii na asasi za kiraia.
Najua serikali ina mipango yake na strategies zake kulingana na taratibu za kiutekelezaji ilivyojiwekea kupitia safu ambayo Mkuu wa Nchi anakuwa ameiunda katika kuwaletea wananchi wake maendeleo.
Sasa, kelele, lawama, manung'uniko, kejeli, ushauri, kukosoa, na kuisemasema Serikali iliyopo madarakani, inatusaidia wananchi au uzi uleule?
Tuchangie kwa mifano.