Kwa wale waliosoma chuo kikuu cha Mzumbe, kuna kitu kinaitwa "KIU" ni utani flani ambao unafurahisha sana espcially kama hakuna matusi
Sijui kiu inaendelea au imakufaa, wana MU mpoooooooooo??
Kiu mzumbe haipo tena-walikuja kuipiga stop wakawa wanatishia kuwafukuza watu watakao kuwa wanakata kiu-
walitafuta vibaraka within wanafunzi ambao walikuwa wakipeleka majina ya wakata kiu kwa uongozi wa chuo,kwa hio hali ilikuwa ngumu kidogo maana hata ukate kiu saa tisa usiku,bado kuna anonymous watakuona tu na kupeleka jina lako-
so hii ilipunguza sana kasi ya kiu-watu wakaogopa-
kiu ilifikia patamu maana kuna makundi ya wboys walikuwa wanaenda girls' hostesl usiku na kuwapa "somo" la kutosha,pamoja na walimu wao-nazan uongozi uliona kuwa ukizembea hali itakuja kuwa mbaya
Kiukweli kiu ilikuwa nzuri sana unakumbuka kiu ya kichinaaaaaa!!!!!!!!!!Kiu ilikuwa nzur,matuc ndo chany cha kupgwa marufuku,ingawa kuna nyakat inapgwa,kuna jamaa ana kesi ya kiu
nakumbuka tulikuwa tukifanya test usiku NAH-saa 3 hivi usiku-vijana wa mkwawa na kwingineko wakajisogeza pembeni,na wasichana wa kinje,yaan ilikuwa ni balaa-maana unafanya test huku unacheka-hadi mwalim nae inabid acheke tu-kipindi hicho NAH hakuna viti kama ilivyo sasa-kabla ya test ni kuhangaika kutafuta meza na kiti, wwe menyeweUsiombe kipindi kule kuwa na test NAH halafu Mkwawa wanakata Kiu kama walevi...I miss MU ya Warioba, Kuzilwa kaigeuza shule ya msingi.
Yaani ikiwa NAH nkicheko na test lazima viendane wakati wa test, ni burudani tu we acha tunakumbuka tulikuwa tukifanya test usiku NAH-saa 3 hivi usiku-vijana wa mkwawa na kwingineko wakajisogeza pembeni,na wasichana wa kinje,yaan ilikuwa ni balaa-maana unafanya test huku unacheka-hadi mwalim nae inabid acheke tu-kipindi hicho NAH hakuna viti kama ilivyo sasa-kabla ya test ni kuhangaika kutafuta meza na kiti, wwe menyewe
nakumbuka tulikuwa tukifanya test usiku NAH-saa 3 hivi usiku-vijana wa mkwawa na kwingineko wakajisogeza pembeni,na wasichana wa kinje,yaan ilikuwa ni balaa-maana unafanya test huku unacheka-hadi mwalim nae inabid acheke tu-kipindi hicho NAH hakuna viti kama ilivyo sasa-kabla ya test ni kuhangaika kutafuta meza na kiti, wwe menyewe
nakumbuka tulikuwa tukifanya test usiku NAH-saa 3 hivi usiku-vijana wa mkwawa na kwingineko wakajisogeza pembeni,na wasichana wa kinje,yaan ilikuwa ni balaa-maana unafanya test huku unacheka-hadi mwalim nae inabid acheke tu-kipindi hicho NAH hakuna viti kama ilivyo sasa-kabla ya test ni kuhangaika kutafuta meza na kiti, wwe menyewe
Ni utani fulani ambao unaendana na ukweli, vichekesho, burudani na kila aina ya vibudisho vya kuchekesha unavyoviijua, labda mwingine amsaidie zaidi, kama ulisoma Mzumbe chuo na hata wale wa secondary wanafahamu kiu ni kitu gani inafurahisha sanaJamani KIU ni nini??