Hivi "kiu" Mzumbe university bado ipo?

Mfano, Baba baba!! eti wanasema hujui kufunga tai!! ahahahah! kamata hao (hiyo ni kwa mchumi mmojia kwa jina la T...ui
basi eti mzee mwingine mtalaamu wa ngeli alikuwa anafundisha communication skills basi mkiwa NAH jamaa wanakuja wanachungulia, eti baba wanasema hujui kiingereza, kamata hao!!!
Ila kiu ilikuwa ni njema sana, sema chuo kilikosa ubunifu ktk kukabiliana na hiyo hali, kwani wangeweza kushauri kupitia uongozi wa wanafunzi wakaanzisha kitu mbadala cha kuwaburudisha wanafunzi maana wenzetu nchi nyingine unakuta vijana wa chuo wana viparty mfano bad taste day!, Traffic light party n.k
 
can u imagine MU without KIU, Disko zimepigwa marufuku na Parkline bar walisitisha kuuza pombe sijui kama wameruhusiwa, yaani tangu Kuzilwa achukue chuo amekigeuza boarding school na sheria za ajabu na kufuta burudani karibu zote.

Wanafunzi watakufa kwa msongo wa mawazo ukizingatia chuo kiko bushi....
 
Kwa wale waliosoma chuo kikuu cha Mzumbe, kuna kitu kinaitwa "KIU" ni utani flani ambao unafurahisha sana espcially kama hakuna matusi
Sijui kiu inaendelea au imakufaa, wana MU mpoooooooooo??

stuuuuuuuudiooooooooooooooooooooooooooooooooooooo... form one mmekuja na vidumu na mifagio!!!!!!! pumbaf mlidhan hapa ni sekondari!!!!!!!!!
 
dah, kiu ilipigwa mzumbe mbeya campus..mtu mzima father of the holly land, incognito insebie mid reses esterepe..watu kidogo wajinyonge, maana ilichafua masista du, masharobaro..ikabidi walimu waingilie kati na kudai watafukuza watu, hapo ndipo ikapotea lkn ilikuwa fundisha...

Kumbe 'kiu' ni ukweli flani vileee,
 
Back
Top Bottom