Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,681
- 140,332
Wengi wao wanakula kitimoto ( in-private) au wakiwa mikoani , usiamini.Chuki dhihi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Inaweza kuwa ni kwakuwa ni mtamu sana au?Chuki dhihi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Hakuna watu wanafiki kama waislamu. Uislamu na unafiki ni kama rinda na kimba.Chuki dhihi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
Waislamu hawachukii mnyama yoyote isipokuwa kitimoto kwa munibu wa Imani ya kiislamu ni haramu kula na hata kwa baadhi ya wakristo ni hivyo hivyoChuki dhidi ya huyu mnyama ni kubwa sana, sijui huyu mnyama aliwakosea nini kikubwa waislamu. Nahitaji kujifunza umahsusi wa dhambi ya kitimoto ni upi kulinganisha na dhambi zingine.
Muislamu atamvumilia mtu mlevi, mzinzi, muongo lakini hawezi kuvumilia kusikia kuhusu kitimoto.
Nimekuja lodge hapa, nimemuuliza muhudumu bar zipo wapi nikapate moja mbili-kanionyesha bila mgogoro wowote. Namuuliza wapi nitapata kitimoto amebadilika sura, anasema hayo mambo yeye hawezi kuzungumzia.
Jamani dhambi ya ulevi sio issue, lakini ya kitimoto ndio kali zaidi?!
🤣🤣AiseeMti wenye matunda
View attachment 3444582
Tupe maandiko yanayothibitishaMungu hajaumba kitu haramu