structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Wakuu kuna hili swala nimekuwa nikjiuliuza tu.
Hivi ni kiongozi gani(kama yupo) tofauti na raisi ambaye wakati wowote anaweza ingia na kutoka Ikulu kadiri aonavyo inafaa bila kusimamishwa, kuhojiwa na kukaguliwa?
Je ni makumu wa raisi,Waziri mkuu, Mkuu wa majeshi, Jaji mkuu au ni nani?