Utakuta kwa sasa hana hata uwezo wa kumiliki Smartphone,,[emoji134][emoji24]Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo
Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama ana cheza, mama ana video kali.
Mungu ampe taafifu, arudi hali yake,[emoji120]View attachment 1684501
Anamlalamikia promote alikuwa na maisha mazuri sana nimebahatika kuishi karibu yake area c na ipagala kwa mwonekano wa saiv sizan kama anamiliki nyumba japo alikuwa Kajeng nyumba nzuri ipagala miaka ya 2008 na team yake ilikuwa inafanyia mazoezi hapoUtakuta kwa sasa hana hata uwezo wa kumiliki Smartphone,,[emoji134][emoji24]
Kwa Promota nchi nzima yuko m1 tu jamanAnamlalamikia promote alikuwa na maisha mazuri sana nimebahatika kuishi karibu yake area c na ipagala kwa mwonekano wa saiv sizan kama anamiliki nyumba japo alikuwa Kajeng nyumba nzuri ipagala miaka ya 2008 na team yake ilikuwa inafanyia mazoezi hapo
Tumrudishe kwenye Game,Mali bila daftari....
Naona anapita njia moja sasa na Mr nice,Saida,RayC, na wengineo.
Btw ajipange upya kama unajua unajua tu
ile nyumba yake ya ipagala alipiga bei??Anamlalamikia promote alikuwa na maisha mazuri sana nimebahatika kuishi karibu yake area c na ipagala kwa mwonekano wa saiv sizan kama anamiliki nyumba japo alikuwa Kajeng nyumba nzuri ipagala miaka ya 2008 na team yake ilikuwa inafanyia mazoezi hapo
mkuu usimpe sifa zisizo zake...Ni the Best Gospel Singer Ever,,
Siunakubali hili au una shaka nalo
Ngada haijawahi kumuacha mtu salama.Nibembeleze nibebe,,,,,nimeonja utamu wa yesu
[emoji16][emoji16] cjui alifikiria nn kuimba ivyo.
Cjui kilimkuta Nini kwa kweli[emoji23]
Namuona hapa anavyoiteka Sunday Shangwe,, mpk host kampsha studioLeo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo
Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama ana cheza, mama ana video kali.
Mungu ampe taafifu, arudi hali yake,[emoji120]View attachment 1684501