Sina uhakika kama hiyo ni sura ya binadamu, naona kama photoshop au kajivisha kinyago cha yule mnyama maarufu wa hifadhi ya Gombe
sina uhakika kama hiyo ni sura ya binadamu, naona kama photoshop au kajivisha kinyago cha yule mnyama maarufu wa hifadhi ya gombe
Najua ameanza toka kipindi cha hayati mwl nyerere pia akaja kipind cha mzee mwinyi mpaka kwa benjamin mkapa...hamna alichofanya mpaka leo zaidi ya kuropokaropoka tu na kusinzia bungeni.....cha ajabu kikwete na yeye kamleta kwenye serikali yake! Hivi yeye ndo kabeba mikoba ya ccm nini??? Sasa mtu unaenda kwenye kampeni halafu unazungumzia wachumba wa watu hiyo ni akili au matope! Kwel ccm hamna mtu mwenye akili tena ndo maana mmemuona yeye ana afadhali! Namzungumzia kilaza wassira
kwake evolution bado inaendelea, yeye sasa ni zinjanthropus. Atakuwa handsome miaka ya 2070 hivi, msihofu mazee.
teh teh teh!
Kwahiyo na babu yako kambarage kilaza,,, maana yeye ndie aliemuweka kwenye system...
By the way,, uwe mvumilivu kama unapenda sihasa..
Mnamzungumzia nani? huyu dubu ama kuna mwingine?
View attachment 49782View attachment 49782
Huyu ndo kichwa kwenye ccm! huyu hafai hata kucheza na wajukuu, lkn ndiye anaongoza nchi!!! Watu hawajui kwa nini nchi imeshindwa ku- move ni kwa ajili ya vikonge hivi kushindwa kustaafu.Bonge la HB! Yaani hapo ndo alikuwa ana pose kwa picha ya kuweka kwenye kumbukumbu za bunge!
Duuuuh!Kuna watu wana mambo..
Eti katoroka Gombe,kaja huku na kupokelewa na wenzetu,wakamlea hadi alipofikia sasa anatusumbua,na anajidai hata kurudi kwenye asili yake hataki..!