Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!
NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!
Yaani sijui ni nini, watu walikuwa na imani naye lakini anazidi kuwaangusha!Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:
Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:
Hii ya wazee wa Afrika mashariki ni kesi nyingine............wapi mikopo ya wanafunzi wa vyuo kila siku migomo!Siyo hilo tu, wazee wastaafu wa afrika mashariki wanadai mafao yao miaka mingi lakini wanazawadiwa virungu tu vya polisi. Fedha hawapewi. Lakini za Downs zipo. Ndiyo serikali ya sisiem hiyo!!
kucheza kiduku
ahhahahaha, kiduku kina husika lakini. View attachment 20018View attachment 20019View attachment 20020View attachment 20021View attachment 20022View attachment 20023
Hawezi ki2.
Waalimu 16000 tangu wamemaliza mafunzo hawajaariwa wakati huo huo kuna upungufu mkubwa wa waalimu
nenda zako wewe ina maana huna habari baraza huchaguliwa na hao hao kwa kupitia utiifu wa Ndio mzee na si uwezo? Hebu angalia kiasi cha hela kinachoelekezwa UDOM na madudu yanayofanyika hata wahadhiri kushindwa kupata mishahara! si ndo yaleyale kuweka viongozi wasio na sifa ila kulamba ****** yake!Siasa na dini haviendani hata siku moja.
Mkosoeni JK kwa utendaji wake na sio dini yake, mwishowe mtawagawa na Waislamu ambao hawamkubali JK.