Analytical
Senior Member
- Mar 7, 2011
- 149
- 73
Wanajamvi, siko informed kuhusu hili. Hivi ile kesi ya Mpendazoe kupinga ushindi wa Mahanga imefikia wapi?
Wanajamvi, siko informed kuhusu hili. Hivi ile kesi ya Mpendazoe kupinga ushindi wa Mahanga imefikia wapi?
sio toka kesi ya lema tu mahakama imekuwa ikitoa ruling ambazo zipo politically influenced mfano kesi ya mgombea binafsi na nyingine nyingi kesi ya chenge kugonga na kuuwa na gari ambayo haina bima akatozwa laki saba tu etc mambo haya ndio yanasababisha wananchi kuchukua sheria mkononi na kutokuiamini mahakama chanzo cha machafukoYeah mahakama za bongo siziamini toka hukumu ya lema iwe released,mahanga kama fair atachinjwa tar 2