Salaam...
Imetokea Mara nyingi Sana kuona takukuru wanapewa maagizo ya kuchunguza jinsi ufisadi ulivyofanyika
Sasa najiuliza inamaaana hao takukuru ni Hadi wapewe maagizo ndo wachunguze. Ina maana wao hawana utaratibu wakufatilia miradi pindi inapoanza tu kutekelezwa.
Mfano huko uvinza kwahiyo bila Waziri Mkuu kwenda huko maana yake hayo makandokando yasingejulikana
Na takukuru wapo
Takukuru inabidi wajitafakari sana
Nawasilisha...