Hivi katika Jimbo lako Mbunge wako kasaidia nini kwa Umma?

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Wapendwa, tuko 2018 ikiwa bado miezi 20 tu kuingia kwny uchaguzi mkuu.Hebu tuambie humu Leo je mbunge wako kasaidia jambo gani lenye manufaa katika Kata yako?
Je asogeza jambo gani mbele ya meza ya wizara ambalo limetekelezwa?
NAANZA MIMI MBUNGE WANGU ALITOA TSHS MILIONI 4 UKARABATI WA VISIMA VIFUPI VYA MAJINI KATIKA KATA YANGU JIMBO LA BUSEGA.
 
Kasaidia kulalamika na kunungunika
 
Mi bukoba walau rwakatale kupitia ukawa anaendelea kujenga stendi kubwa ya kisasa nadhani mliofika bk mmeona stendi ilivyokuwa, anaendelea na ujenzi wa barabara na uwekaji wa taa na mengine mengi madogo madogo tunaishukuru ukawa sio yale majizi
 
Back
Top Bottom