Hivi kati ya Kikwete na Magufuli nani ni omba omba na anakumbatia mataifa ya nje?

Tuliaminishwa sisi matajiri sana na hatuhitaji kuomba, Ila toka aingie tumekuwa ombaomba vile vile au zaidi ya utawala uliopita,
Hakuna kitu tumefanya kwa pesa zetu, tuliondoa pesa za msd na pesa za wanafunzi wa vyuo vikuu, tukanunua pangaboi, sasa hospital hakuna madawa wala mikopo hakuna vyuoni,
 
Hao ndio vichaa wa Tz bwana,tafiti hazidanganyi kamwe, tena ubaya wa vichaa wa hapa hawajui wanataka nini,watu wanaokaa kungoja Rais awaombee kujengewa nyumba sasa cjui mnafanya nini kama hata kujengewa tembe mfanyiwe na nchi,hao ndio vichaa wa hapa...mkiitwa nyumbu mnalalama lkn hii ni.aibu kwa tz tu sio pengine,hamna jema
 
Huyu wa sasa hajapanda ndege kwenda USA au Canada, akiambatana na rundo kubwa la watu.

Ugeni mkubwa unamfuata hapa Tanzania lakini kwa sababu baadhi yetu tunasumbuliwa na ufinyu wa kutazama uhalisia wa maisha, tunatazama kipengele kimoja tu cha uwanja Dodoma.

Uamuzi wa kutimua wote wenye viwango vidogo vya ufaulu pale UDSM labda utasaidia katika kupungua mitazamo duni sana kwenye jamii yetu.
Ila ya kufanya hayo anayo hujui kama tuko ICU
 
Back
Top Bottom