Hivi kati ya Kikwete na Magufuli nani ni omba omba na anakumbatia mataifa ya nje?

DNR

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
523
337
Wakuu katika kipindi hiki kifupi cha Awamu tano kwa uelewa wangu kimetosha kabisa kujibu swali hili ..

Hivi kati ya hawa watu wawili nani Omba omba mimi ni mgeni kidogo katika hili suala lakini kwa sasa nnao wageni ambao hawajawahi tia mikono yao tz ?
 
Nimemuomba atujengee uwanja wa mpira na msikiti hahahaha watu hawana makazi ya kuishi madaraja mabovu watoto hawana vitendea kazi shule.

swissme
 
Nimemuomba atujengee uwanja wa mpira na msikiti hahahaha BWANA YULE.watu hawana makazi ya kuishi madaraja mabovu watoto hawana vitendea kazi shule wewe unakuja kuropoka hapa.

swissme
haaaaaa kumbe aliropoka ..msamehe idadi ilizidi watu4 ndo maana
 
Ndege zenu zile mbili zimefika leo .. Ni kubwa kweli na tutaingiza pesa za kigeni nyingi tu
 
Wakuu katika kipindi hiki kifupi cha Awamu tano kwa uelewa wangu kimetosha kabisa kujibu swali hili ..

Hivi kati ya hawa watu wawili nani Omba omba mimi ni mgeni kidogo katika hili suala lakini kwa sasa nnao wageni ambao hawajawahi tia mikono yao tz ?
Mtasema mchana usiku mtalala lakini hapa kazi tu
 
Nimemuomba atujengee uwanja wa mpira na msikiti hahahaha BWANA YULE.watu hawana makazi ya kuishi madaraja mabovu watoto hawana vitendea kazi shule wewe unakuja kuropoka hapa.

swissme
Mnataka amwombe ili mjengewe nyumba za kuishi ninyi na wake zenu?Chakarikeni acheni umbea mtasutwa wanaume
 
Anaomba lkn hafati anafatwa
Huyu wa sasa hajapanda ndege kwenda USA au Canada, akiambatana na rundo kubwa la watu.

Ugeni mkubwa unamfuata hapa Tanzania lakini kwa sababu baadhi yetu tunasumbuliwa na ufinyu wa kutazama uhalisia wa maisha, tunatazama kipengele kimoja tu cha uwanja Dodoma.

Uamuzi wa kutimua wote wenye viwango vidogo vya ufaulu pale UDSM labda utasaidia katika kupungua mitazamo duni sana kwenye jamii yetu.
 
Wakuu katika kipindi hiki kifupi cha Awamu tano kwa uelewa wangu kimetosha kabisa kujibu swali hili ..

Hivi kati ya hawa watu wawili nani Omba omba mimi ni mgeni kidogo katika hili suala lakini kwa sasa nnao wageni ambao hawajawahi tia mikono yao tz ?

Tuwe tunajifunza kufanya Intellectual Comparisons ili tukija humu JF basi tudhihirishe kweli kuwa tulikuwa ' hatuchezi ' Mashuleni na Vyuoni. Mkuu hivi inaingia akilini kweli leo hii kumfananisha Mtu ambaye ndiyo kwanza wiki mbili tu zijazo anatimiza mwaka mmoja madarakani na yule ambaye ameshakaa ' madarakani ' kwa miaka yake yote 10? Hivi Waafrika nani ' alituroga ' hadi hatujui kufikiri hivi na kujenga hoja?
 
Kwani kujua kama mtu omba omba au la ina hitaji miaka mingapi?
 
Mkuu naomba uniache niendelee kutambaa kwa kupitia threads zingine kwani nikiendelea kubishania hii hii yako naweza nami nikawemo katika ile ' One in Four Crazy Camp '.
 
Tuwe tunajifunza kufanya Intellectual Comparisons ili tukija humu JF basi tudhihirishe kweli kuwa tulikuwa ' hatuchezi ' Mashuleni na Vyuoni. Mkuu hivi inaingia akilini kweli leo hii kumfananisha Mtu ambaye ndiyo kwanza wiki mbili tu zijazo anatimiza mwaka mmoja madarakani na yule ambaye ameshakaa ' madarakani ' kwa miaka yake yote 10? Hivi Waafrika nani ' alituroga ' hadi hatujui kufikiri hivi na kujenga hoja?
Tuwe tunajifunza kufanya Intellectual Comparisons ili tukija humu JF basi tudhihirishe kweli kuwa tulikuwa ' hatuchezi ' Mashuleni na Vyuoni. Mkuu hivi inaingia akilini kweli leo hii kumfananisha Mtu ambaye ndiyo kwanza wiki mbili tu zijazo anatimiza mwaka mmoja madarakani na yule ambaye ameshakaa ' madarakani ' kwa miaka yake yote 10? Hivi Waafrika nani ' alituroga ' hadi hatujui kufikiri hivi na kujenga hoja?
Watu wana compare ktk mwaka huo mmoja
Nawe anzia hapo, habari ya miaka 10 achana nayo
 
Wakuu katika kipindi hiki kifupi cha Awamu tano kwa uelewa wangu kimetosha kabisa kujibu swali hili ..

Hivi kati ya hawa watu wawili nani Omba omba mimi ni mgeni kidogo katika hili suala lakini kwa sasa nnao wageni ambao hawajawahi tia mikono yao tz ?

Kikwete hakuna anayemshinda, yaani hana mpinzani.
 
Sheeeda......BTW kipi kina afadhali kwenda nje kuomba au kuwabughudhi wageni wanaokutembelea kwa kuombaomba?

Eitherway, Tanzania hatupaswi kuwa ombaomba!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom