Hivi kati ya CHADEMA na CCM wapi wana mawakili na wanasheria hodari?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,599
Kwa upande wa CCM kuna watu hodari kama kina Chenge ambaye naskia amesoma Harvard, Ngeleja na Mkono lakini hawa sijawahi kuwasikia kwenye tasnia ya sheria kama nnavowaskia wanasheria wa CDM kwa kipindi cha kama miaka 2 iliyopita. Ukitaja watu kama Mabere Marando, Tundu Lisu, Albert Msando, John Mallya ambaye huu mwaka amewika sana, James Millya etc.

Hivi kwa wataalamu wa sheria kati ya vyama hivi viwili ni wapi wanaweza kuwa na wanasheria hodari kuliko wengine?

Nawasilisha
 
kwa upande wa ccm kuna watu hodari kama kina chenge ambaye naskia amesoma harvard, ngeleja na mkono lakini hawa sijawahi kuwasikia kwenye tasnia ya sheria kama nnavowaskia wanasheria wa cdm kwa kipindi cha kama miaka 2 iliyopita. Ukitaja watu kama mabere marando, tundu lisu, albert msando, john mallya ambaye huu mwaka amewika sana, james millya etc.

Hivi kwa wataalamu wa sheria kati ya vyama hivi viwili ni wapi wanaweza kuwa na wanasheria hodari kuliko wengine?

Nawasilisha
mbona jibu unalo tayari?
 
Nipe reference ya kesi yoyote ile ambayo chenge aliisha wahi kufunga "mtaa".
(yaani kesi iliyobamba ikiongozwa na Andrew Chenge a.k.a nyoka makengeza
licha ya kuambiwa kuwa kasoma kwenye elimu "Harvard university".
 
Last edited by a moderator:
Wanasheria wa ccm ni vilaza ndo akina tulia na kushindwa kujibu maswali mepesi. Poor ccm
 
Mkishinda kesi mnafurahi Sana na kujisifu pia na kuisifu mahakama kuwa inatenda haki ila mkishindwa ahaaaa mtasikia mahakama haiko huru Mara mahakama inapendelea ccm
Hivi haki n pale mnaposhinda tu nyie?kweli nyie n misukule na manyumbu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom