Hivi karibuni The story book ya Wasafi Fm imeanza kupoteza mvuto

Hii ndiyo JF inayoamini kuangalia TBC ni ujinga, leo mtu anashangaa kuwa watu wanasikiliza redio kweli!! Hakuna chombo cha habari ambacho hupeleka taarifa kwa haraka kama radio hapa nchini.

Leo mtu anajitia kidole kwenye puru na kujinusa kisha anashangaa kinanuka serious!!!?
Mkuu huyo jamaa usikute saizi yupo anasikiliza DW kupitia radio. Achana naye tu si unajua wabongo kwa kujikweza
 
Ni miongoni mwa wapumbavu tuliobaki nao hapa nchini na kama kajaaliwa kizazi usishangae kuona kizazi chake kikirithi upumbavu wake.
 
Jamal April ndiye mtunzi wa hizo story zote unazozisikia akisimulia Mtiga, Mtiga ni msimuliaji tu.
Huenda kuna tatizo mahala ana muda hajasimulia simulizi mpya.
.
Au watu wametia mzigo mrefu kama wa Kicheko (masawe mtata) kutoka EFM kwenda CMG
Na baada ya kuchuja/kumalizwa kule CMG karudisha Kende kwa majizo.

dodge
 
Wazungu hao ndio wanafanya unaongeza CD4 hadi sasa unakuja kuleta ngebe za kike kususiana na radio???
Hao hao wazungu wanakuletea na ushoga nawewe kwa mikono miwili kabisa na magoti ya heshima unaupokea...
Yote tisa radio,CD,barua za simu zimeshapitwa na wakati
 
Wewe ni nyani mbele ya mzungu huna chochote jikubali kuwa wewe ni nyani na miongoni mwa vivutio ambavyo huleta hao wazungu nchini.

Aliekwambia radio zimepitwa na wakati ni mpumbavu kama wewe, unajua kuwa zaidi ya asilimia 50 ya vyombo vya habari hapa nchini ni radio.

Unawaona wazungu ni wajinga hadi sasa bado wanakupa pedi kila mwisho wa mwezi unazuia mkojo wako wenye damu kushuka miguuni.
 
Nyani wewe tu mzee....
Haya marangi nimesoma nayo na ni mavilaza makubwa tu.
Jiulize kwanini usafiri asilimia kubwa ni daladala na bodaboda??wananchi hawapendi magari?
La! Lakini ni hela tu mkuu, ingekuwa ni cheap kuanzisha TV station kama kuanzisha kibanda cha Chipsi ungeona Chanel za kibongo zimejaa.
Skuizi radio watu wanasikiliza Kwenye daladala tu wakiwa wanaenda au kutoka kazini tena hata hizo daladala zinawasikilizisha watu radio kwasababu hawana hela ya kuweka screen watu wale dundo..
 
Na baada ya kuchuja/kumalizwa kule CMG karudisha Kende kwa majizo.

dodge
CMG walimchukua kwa sababu ya trend ya singeli nadhani wameshindwa kumuendeleza baada ya mastermind mwenyewe ku rest in peace
 
Nyani wewe tu mzee....
Haya marangi nimesoma nayo na ni mavilaza makubwa tu.
Jiulize kwanini usafiri asilimia kubwa ni daladala na bodaboda??wananchi hawapendi magari?
La! Lakini ni hela tu mkuu, ingekuwa ni cheap kuanzisha TV station kama kuanzisha kibanda cha Chipsi ungeona Chanel za kibongo zimejaa.
Skuizi radio watu wanasikiliza Kwenye daladala tu wakiwa wanaenda au kutoka kazini tena hata hizo daladala zinawasikilizisha watu radio kwasababu hawana hela ya kuweka screen watu wale dundo..
Ukisikia sensa ya wanyama imekaribia jitahidi uwe mbugani uhesabiwie pamoja na nyani kuliko kuwa uraiani na akili mbovu hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom