hali ni mbaya sana ki uchumi, nimeshashuhudia nmwenyumba anawatuma wanae, wajitahidi kunitega asubuhi ama usiku naporudi....walifeli kwa maana nikamleta waifu na uchangamfu ukaishia hapo, na mimi nikakatiza zile huduma ndogo ndogo maana mazoea yalizidi kiasi ikawa kama walizaliwa ili niwalee