britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #21
Wanapotea
MhHii nayo nyeti Duh.
Utakuwa una hamu ya kupimwa mkojo ''japo kana faa sana kwa utalii''Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,
Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumun uchumi na watuhumiwa wa uhaini kama wakati wa Nyerere?
Je, watu wanaruhusiwa kufika pale? Au bado Kako chini ya jeshi?
Mwenye majibu please
View attachment 901484
Britannica
Utalii heeeUtakuwa una hamu ya kupimwa mkojo ''japo kana faa sana kwa utalii''
Hujui kwanihee kumbe kuna maficho huko zaidi ya mapango ya panagani...SaLALee walahi teafa....mmmmhhhhh
Hapana iko mafia usiombeeHiyo ndio Guantanamo ya hapa kisiwa cha Amani.
Hahaha hatariRestricted zone
Non residential
Intelligence facility
24/7survrilance
Strictly checks before reaching offshore
Escorted by ssit officials
No civilian boat to reach 5 nautical miles
Very luxurious underground base
Am dreaming!!!!!
Some where at Acapulco
Hiyo ni hatariHiyo ndio Guantanamo ya hapa kisiwa cha Amani.
MmmMtoa mada katoa blue print ya walipo akina mo, saa9 na mwandishi, so ni kazi kwenu Ku figure out,