Hivi kale ka kisiwa ambako Nyerere aliwatia watu kizuizini kuna Rais aliendelea kukatumia? Au bado kanatumika?

Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,

Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumun uchumi na watuhumiwa wa uhaini kama wakati wa Nyerere?

Je, watu wanaruhusiwa kufika pale? Au bado Kako chini ya jeshi?
Mwenye majibu please
View attachment 901484

Britannica
Utakuwa una hamu ya kupimwa mkojo ''japo kana faa sana kwa utalii''
 
Restricted zone
Non residential
Intelligence facility
24/7survrilance
Strictly checks before reaching offshore
Escorted by ssit officials
No civilian boat to reach 5 nautical miles
Very luxurious underground base


Am dreaming!!!!!


Some where at Acapulco
 
Restricted zone
Non residential
Intelligence facility
24/7survrilance
Strictly checks before reaching offshore
Escorted by ssit officials
No civilian boat to reach 5 nautical miles
Very luxurious underground base


Am dreaming!!!!!


Some where at Acapulco
Hahaha hatari
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom