Hivi kale ka kisiwa ambako Nyerere aliwatia watu kizuizini kuna Rais aliendelea kukatumia? Au bado kanatumika?

Duh...tehtehtehtehteh...watu mna 'roho' ngumu...tehtehtehteh...Ila ushauri wangu kwa wengi ambao hawafahamu ni kuwa wote wale wanaoishi karibu na bahari wako katika mazingira hatarishi...Ndugu yangu unakumbuka kile kilichotokea kule Indonesia nadhani mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na tsunami?/ Bahari au mawimbi yake yalikuja kwa kasi zaidi ya futi 10 juu na kuua maelfu kwa maelfu ya watu...ikitokea hapa Dar walioko Kigamboni, masaki, msasani, Kawe, mikocheni, oysterbay, kunduchi, Bunju, city centre, kariakoo nk wataipatapata..tehtehtehtehtehteh

Mkuu, Tsunami inatokana na tetemeko la ardhi kwenye huo mkanda wake ulosambaa kutoka Bangladesh, India, Malaysia, Myanmar, Thailand, Sri Lanka na Maldives.

Sisi hatupo kwenye mkanda huo.

Nimeweka kabisa kila kitu kwenye mapendekezo ya mradi wangu wa kisiwa hichi kuwa cha utalii mahali hapo.

Nasubiria majibu kutoka serikalini na wamekuwa wazito kwelikweli kurudi na majibu naona hawataki kupaachia mahali hapo.

:):):)
 
Mkuu, Tsunami inatokana na tetemeko la ardhi kwenye huo mkanda wake ulosambaa kutoka Bangladesh, India, Malaysia, Myanmar, Thailand, Sri Lanka na Maldives.

Sisi hatupo kwenye mkanda huo.

Nilmeweka kabisa kila kitu kwenye mapenekezo ya mradi wangu wa kisiwa hichi kuwa cha utalii mahali hapo.

Nasubiria majibu kutoka serikalini na wamekuwa wazito kwelikweli kurudi na majibu naona hawataki kupaachia mahali hapo.

:):):)

dah....aisee...wewe unakaribisha wakuteke...tehtehteh
 
Restricted zone
Non residential
Intelligence facility
24/7survrilance
Strictly checks before reaching offshore
Escorted by ssit officials
No civilian boat to reach 5 nautical miles
Very luxurious underground base


Am dreaming!!!!!


Some where at Acapulco
!
 
Ukielekea Zanzibar Kabla Chombo Hakijatia Nanga Kipo Kisiwa Maarufu Sana
Kinaitwa Chumbe
Unaambiwa Kabla Hujaingia Zanzibar Unatakiwa Mambo Yote Ya Ajabu/Hovyo Unayaacha Hapo Halafu Unaingia Zanzibar Ukiwa Safi
 
Back
Top Bottom