britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #41
Siyo mbudya mkuupanaitwa Mbudya mzee😊😊
sikuhizi panaingilika 24/7 vijana wanaenda shikana manyonyo kule
nitariudi, nipo na drive
Siyo mbudya mkuupanaitwa Mbudya mzee😊😊
sikuhizi panaingilika 24/7 vijana wanaenda shikana manyonyo kule
nitariudi, nipo na drive
Achana na mbudya hicho ni kisiwa cha mwanzonipanaitwa Mbudya mzee😊😊
sikuhizi panaingilika 24/7 vijana wanaenda shikana manyonyo kule
nitariudi, nipo na drive
Mmmmmmh!tunamshukuru binafsi nilikuwa sijuiAchana na mbudya hicho ni kisiwa cha mwanzoni
YesMmmmmmh!tunamshukuru binafsi nilikuwa sijui
Kuna nini huko kwahyo waloptea ndo wako huko salamaHapana iko mafia usiombee
Wewe ulizipata wapi hizi habari...Na una uhakika kwamba aliyekuambia alisema ukweli???!!Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,
Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumun uchumi na watuhumiwa wa uhaini kama wakati wa Nyerere?
Je, watu wanaruhusiwa kufika pale? Au bado Kako chini ya jeshi?
Mwenye majibu please
View attachment 901484
Britannica
Mkuu, Britannia,
Hapa nahitaji kama bilioni 2 ili nikinunue hicho kisiwa.
Inahisiwa ni kisiwa kizuri sana cha watalii.
Ikija hapo El Nino ndipo utaona uzuri wake....tehtehtehtehtehteh
Kama wakumbuka zile mvua za elnino zilizotokezea Tanzania miaka 10 ilopita, ilifanya hicho kisiwa kinyanyuke na sasa kipo juu kidogo kutoka usawa wa bahari.
Ile ulikuwa ni mission ya siri ya nyuklia blast haikuwa mambo ya asili ya mabadiliko ya tabia ya nchi au tetemeko ulikuwa ni majaribio ya mabomuDuh...tehtehtehtehteh...watu mna 'roho' ngumu...tehtehtehteh...Ila ushauri wangu kwa wengi ambao hawafahamu ni kuwa wote wale wanaoishi karibu na bahari wako katika mazingira hatarishi...Ndugu yangu unakumbuka kile kilichotokea kule Indonesia nadhani mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na tsunami?/ Bahari au mawimbi yake yalikuja kwa kasi zaidi ya futi 10 juu na kuua maelfu kwa maelfu ya watu...ikitokea hapa Dar walioko Kigamboni, masaki, msasani, Kawe, mikocheni, oysterbay, kunduchi, Bunju, city centre, kariakoo nk wataipatapata..tehtehtehtehtehteh
Hahaha sikitaki aiseeMkuu, Britannia,
Hapa nahitaji kama bilioni 2 ili nikinunue hicho kisiwa.
Inahisiwa ni kisiwa kizuri sana cha watalii.
UmeonaArea 51
Am well informedWewe ulizipata wapi hizi habari...Na una uhakika kwamba aliyekuambia alisema ukweli???!!
Unazungumzia bongoyo wewe.panaitwa Mbudya mzee😊😊
sikuhizi panaingilika 24/7 vijana wanaenda shikana manyonyo kule
nitariudi, nipo na drive
Ile ulikuwa ni mission ya siri ya nyuklia blast haikuwa mambo ya asili ya mabadiliko ya tabia ya nchi au tetemeko ulikuwa ni majaribio ya mabomu
Kumbuka muororoa atol mika ya tisini