Hivi kale ka kisiwa ambako Nyerere aliwatia watu kizuizini kuna Rais aliendelea kukatumia? Au bado kanatumika?

Duh...tehtehtehtehteh...watu mna 'roho' ngumu...tehtehtehteh...Ila ushauri wangu kwa wengi ambao hawafahamu ni kuwa wote wale wanaoishi karibu na bahari wako katika mazingira hatarishi...Ndugu yangu unakumbuka kile kilichotokea kule Indonesia nadhani mwanzoni mwa miaka ya 2000 kutokana na tsunami?/ Bahari au mawimbi yake yalikuja kwa kasi zaidi ya futi 10 juu na kuua maelfu kwa maelfu ya watu...ikitokea hapa Dar walioko Kigamboni, masaki, msasani, Kawe, mikocheni, oysterbay, kunduchi, Bunju, city centre, kariakoo nk wataipatapata..tehtehtehtehtehteh
Waingea nn ww? Kana haujui kitu khs tsunami ni afadhali ukanyamaza kimya! Si kwa wanaoishi hizo sehemu ulizitaja tu ni sehemu kubwa ya jiji la dsm na hata mikoa jiran kama tsunami kama ile ikitokea dsm! Ukiangalia ile clip alafu ukasikilza maneno yaliuomo ndani yake jamaa anasema iliosha miji na vijiji ndg si mchezo ile kitu!
 
kipo kama kawa na washenzi wanaotumiwa na mabeberu wote huko ndiko wanakostahili as we do puuzi saana tuna kila kitu then unanitukana unatarajia nini zaidi ya kushughulikiwa secretly. vunja fupa meno ingali ipo, natumia fursa coz ndio my present time
 
Mkishamalizana na "Washenzi Wanaotumiwa za Mabeberu" tutakuja kumalizana na "Mshenzi Asiyetumiwa na Mabeberu"...MUDA UTAFIKA TU!
 
Kipo..lakini kwa hao wengine.. .
yapo makazi salama wanahifadhiwa huko....

Humo humo mijini....down town!
 
Hicho kisiwa kipo mkuu! kinaitwa Sinda.Watu huwa wanaenda kuspend weekendwakitokea hapo Slipway na wengine wakitokea beach za kigamboni kama vile Barracuda,Southbeach n.k
 
Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka Kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,

Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumu uchumi na watuhumiwa wa uhaini kama wakati wa Nyerere?

Je, watu wanaruhusiwa kufika pale? Au bado Kako chini ya jeshi?

Chatu bado wapo?

Mwenye majibu please

View attachment 901484

Britannica
Kivutio cha watalii
 
Uzushi tu; hakukuwahi kuwepo kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom