mpambanaji kamili
Member
- Feb 21, 2015
- 74
- 34
Tangu uchaguzi uishe na tangu bunge lianze, mbunge wa Kahama hajawahi kuonekana bungeni anachangia wala kuomba chochote. Ina maana Kahama hakuna matatizo na ukilinganisha hiki ndio cha bajeti?
Dhambi ya kupora ubunge bado inamuandama hvyo anajuta sanaaaTangu uchaguzi uisha na tangu bunge lianze mbunge wa kahama hajawahi kuonekana bungeni anachangia wala kuomba chochote ina maana kahama hakuna matatizo?? na ukilinganisha hiki ndio cha bajeti .
damu ya wizi wa kura bado inamuandama.Mbunge wa Kahama yupo. Tofauti na wabunge wengine hufanya kazi kama umeme. Kimyakimya bila kelele, makeke au mbwembwe lakini kazi kubwa. Usihofu, we utulie kama uko kwa kinyozi Kahama mpya ileeeee. We huoni?
Te Te Te Te ila stand bas Kahama inatia aibu sanaaa ukilinganisha na mji ulivyoStendi yenyewe vumbi tupu.