jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Hivi Dr. Kikwete huwa hajiandai (sijui hawa wakubwa WANAANDALIWA) kabla ya kwenda kuzungumza kama Rais wa nchi?
Mara kadhaa nimeona akijibu maswali au kuchangia issue kama kabambikizwa; hakujua kama itaibuka na hakujiandaa!
Hao washauri na etc wanaolipwa kwa kodi zetu wanafanya nini? Maana sasa inakuwa aibu!
Wakuu nimeona videos za JK anaongea kwenye Forum .Kwanza Brown hakumtambulisha kwa staha sana kama alivyo fanya kwa Zuma na Odinga .Najua mtabisha lakini kuna ushahidi wa jinsi alivyo mtambulisha JK kwenye panel .
JK naye kapewa nafasi anaanza kuongea kama anaongea na wazee wa CCM mkoa wa Dar .Jamaa kila mahali ni kuchapia oh Tanzania wakati tunapata uhuru tulikuwa na barabara 3 tu za lami .Akaanza porojo na kuacha maswali ya msingi .Je ni kweli aliona yuko sahihi na kuacha maswali ya msingi ? Ghalfa akacheka mwenyewe watu wamekauka tu ukumbi mzima .Ni kweli hakujua watu wanaongelea pale kitu gani ? I stand to be corrected jamani ila ushahidi upo nitaumwaga hapa soon wa kituko chake cha hadithi za barabara miaka 50 iliyopita .
Mkuu ebu nipe hiyo link ya youtube na mimi nicheke kidogondiyo zake huyo full mikaratasi. Confedence 0.
............ manufacturing of teachers!!................
mkuu,............... huamini???................ sikiliza dk ya 48 -50!!! .................
Duh!!! Nimemwona na kumsikia..!
Khaaa...!!!!????
Kiingereza wito jamani!
I can understand him he is frustrated this nations has bg problems than his head can take n think and when he is trying to solves he finds out he has led the nation to more large problems,so he fls hopeless,helpless and confused,
Mkuu ebu nipe hiyo link nishuhudie mwenyewe...maana kama siamini hivi
Huyu jamaa hadhi yake ni kuwa Mkuu wa Mkoa.. Presidency post ni cheo kikubwa sana kwake hana uwezo. Period
Asante mkuu!!!dah ama kweli nimejionea mkuu..kweli waliosema kiingereza ni wito na mwingine aliyesema jamaha alistahili kua mkuu wa mkoa pengine wako sahihi kabisamkuu, link hiyo.................. ila usije ukaniforward TISS...................... nasikia ni siri ya nchi (joke)...............
http://www.youtube.com/watch?v=SOclT...feature=relmfu
Maana nilimshangaa ana zana kuleta quote za miaka 60 za Prof wake huko sijui Chuo gani alikuwa mie hata simwelewi JK .Hivi kuna ubaya gani kama angeamua kutumia kiswahili akapiga mbwembwe maana ndiyo zako ? Alidhani anaweza kuwakoga watu serious wale walio tumia gharama zao kwenda Davos ? Wale hawakusombwa na malori ili wakamsikilize no .