Hivi JF kuna wife material kweli?

Hivi JF kuna wife material kweli?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume.

Wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bana hamna kitu.Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.

UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent
 
cc: naogopa kutaja maana nishatukanwa humu bado nina donge moyoni
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

Very true.

TAbia ya mtu hapa jukwaani na uhalisia wake viweza kuwa mbingu na dunia. Kwenye comments nyingi, you can read between the lines kuwa ni utani au hamna uhalisia. Nina uhakika kuna mabinti/wanawake humu unawewza kudhani ni mafyatu lakini najua kwenye hali halisi sivyo walivyo. Hiyo pia ni kweli kwa sisi wanaume. Mtu anaweza kujenga picha ya gentleman kumbe ni kibaka tu.
 
Ni muhimu utambue kuna wake za watu humu

Lakini ukitaka kupata uhalisia tuondoe hizi ID tuanze tumia majina halisi.....yaani namaanisha if you have a fake ID hata michango yako mtandaoni itakuwa fake fake tu maadam kuchangamsha kijiwe
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

mkuuu pamoja na mm hakuna anayenijua but siwezi kuabuse au mazungumzo machafu kwa sababu siwezi tukana japo kua situkani na sitegemei .......kimtokacho mtu ndo kilicho mjaa hao ndo maisha yao ya kila siku tusijidanganye
kama upo kweny blind area huwezi jitambua but sie wengine tunakujua
wengine unaweza sema ninawajua wanafanya nn kuanzia asubuhi mpaka usiku kwa sababu ya kusema mambo yao .....wanaji expose sana usiwateteee
 
Mkuu, nimebahatika kuwafaham na kukutana na wadada kadhaa wa jf.....
Wapo tofauti kabisa na wanapokua humu jf.
Wapo waungwana, Wacha mugu na hofu, wakarimu na wenye hekima tofauti sana na wanapokua humu jf aiseee
 
mkuuu pamoja na mm hakuna anayenijua but siwezi kuabuse au mazungumzo machafu kwa sababu siwezi tukana japo kua situkani na sitegemei .......kimtokacho mtu ndo kilicho mjaa hao ndo maisha yao ya kila siku tusijidanganye
kama upo kweny blind area huwezi jitambua but sie wengine tunakujua
wengine unaweza sema ninawajua wanafanya nn kuanzia asubuhi mpaka usiku kwa sababu ya kusema mambo yao .....wanaji expose sana usiwateteee

Sijasema matusi as matusi
nimesema aina ya majibu
wapo wanaojifanya mafyatu kwa majibu bila kutukana
ingawa sio mafyatu kweli
 
Bado SijaWahi Kujibiwa Wala Kudili na Mwanamke Humu Ndani Kwahiyo Sijui
 
Mazungumzo ya mtu akiwa anonymous huwezi kutumia kuk judge
watu humu hujitoa ufahamu kama njia ya kupunguza stress za maisha
au kuburudika tu...

mimi nawajua watu humu wadada wana majibu hayo lakini in real life ni watu tofauti kabisa
so decent

Nadhani kupitia posts humu unaweza kumsoma mtu uwezo wake kichwani, tabia, na mazingira aliyo pia. Tones zao, lugha na maneno wanayotumia na wanapoyatumia, namna wanavyo-interact na watu, ni rahisi sana kujua yupi wa kumuepuka na yupi anajielewa. Ni kweli wapo wanaojitoa 'ufahamu' ili kuburudisha na kuburudika, ila bado class haijifichi.

Kuna wanawake wanaojielewa vizuri tu humu, ila ni wachache sana, sana. Vivyo hivyo kwa upande wa pili.
 
exactly my point....
 
'Wife material' ni total bs, kila mwanaume ana vitu vyake vya kipekee anavyotaka toka kwa mwanamke anayetamani kuishi naye,.viwe vibaya au vizuri. Usiruhusu watu wakuchagulie unataka nini. Society will always front if you fight forces of nature, but that don't mean you should be a b!tch and just follow. Be your own man, set and define your own pace.
 
Asilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume,wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bhana hamna kitu...Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.

UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF.

mkuu majanga gani yamekusibu? maanake hizi thread zako za hivi karibuni kama za kutoa ya moyoni vile...
 
Nadhani kupitia posts humu unaweza kumsoma mtu uwezo wake kichwani, tabia, na mazingira aliyo pia. Tones zao, lugha na maneno wanayotumia na wanapoyatumia, namna wanavyo-interact na watu, ni rahisi sana kujua yupi wa kumuepuka na yupi anajielewa. Ni kweli wapo wanaojitoa 'ufahamu' ili kuburudisha na kuburudika, ila bado class haijifichi.

Kuna wanawake wanaojielewa vizuri tu humu, ila ni wachache sana, sana. Vivyo hivyo kwa upande wa pili.

karibu JF.....what u see IS NOT what you get.
 
Back
Top Bottom