Hivi Jecha Jecha yupo??Mlioko zanzibar

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,868
Napenda kusoma vitabu vya historia, hivi nimekaa nikaona ngoja nijikumbushe uchaguzi wa Zanzibar na ule wa marudio...hapo nikamkumbuka Jecha J. Jecha...je mnamuona huko?ila na nimuhimu huyu mtu akawekwa katika Histori ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom