Hivi Jay Moe Yuko Wapi?

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Hivi huyu mtu yuko wapi, sukari ya warembo enzi hizo mziki haujabinafsishwa na Dimond na Ali Kiba. Daaaaahhh! Kitambo sanaaaa. Juma Mchopanga uko wapi, shabiki wako numero uno nimekumisi sanaaa. Flow yako ilikuwa baaaab kubwaaa.

Hawa watoto wanaweza wasielewe wewe nani kwenye fani, ila mimi mtu mzima mwenzio nakuelewa mpaka kesho. Wewe na mtu chee Juma Nature, Juma Kassim Kiroboto, na producer wetu P Funky Majaniiii. Namfollow mkewe Insta, mama la mama Kajala alibwaga manyanga.

THEM GOOD OLD DAYS
 
Kuna jamaa kaning'ata sikio hapa kuwa jamaa naye siku hizi kawa teja.
sijui ni kweli, ngoja nifuatilie

Jaymo awezi vuta unga. Yupo ana bizness zake music anafanya nyimbo kibao zipo kwa majani. Tatizo ni kukomaa na biashara zingine muziki sio kivile siku hizi.
 
.....ana miaka chini ya kumi na nane ana miaka chini ya kumi na nane.....! Daaaaaadeki, sugu ktk ubora wake!

Wakongwe wengi akiwamo j moe zama zao zimepitahist, ila wataendelea kuwa ktk historia sababu ndo waliweka msingi.
 
Kuna jamaa kaning'ata sikio hapa kuwa jamaa naye siku hizi kawa teja.
sijui ni kweli, ngoja nifuatilie
Acha uwongoo km kitu hujui unaulizaa uwaambiwee j moo toka lini kavuta unga ??????j moo ungesema kuhus kuvuta bangi ningekuelewa lakn sio unga
 
Back
Top Bottom