Hivi Jay Moe Yuko Wapi?

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Hivi huyu mtu yuko wapi, sukari ya warembo enzi hizo mziki haujabinafsishwa na Dimond na Ali Kiba. Daaaaahhh! Kitambo sanaaaa. Juma Mchopanga uko wapi, shabiki wako numero uno nimekumisi sanaaa. Flow yako ilikuwa baaaab kubwaaa.

Hawa watoto wanaweza wasielewe wewe nani kwenye fani, ila mimi mtu mzima mwenzio nakuelewa mpaka kesho. Wewe na mtu chee Juma Nature, Juma Kassim Kiroboto, na producer wetu P Funky Majaniiii. Namfollow mkewe Insta, mama la mama Kajala alibwaga manyanga.
THEM GOOD OLD DAYS

Jumanne Mohammed Mchopanga. Naishi naye jirani, Sinza hapa mitaa ya California. Ni mshikaji kinoma, hana makuu.

Kama upo Dar na ungependa kupiga nae story au kupata ka-dinner hivi pamoja, just holla me and I will hook you up with him. Yes I mean it.
 
No namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Nnasikia wewe ndiyo mwenye account ya dogimasta
 
Hiyo ni nzuri ya kusoma

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Jumanne Mohammed Mchopanga. Naishi naye jirani, Sinza hapa mitaa ya California. Ni mshikaji kinoma, hana makuu.

Kama upo Dar na ungependa kupiga nae story au kupata ka-dinner hivi pamoja, just holla me and I will hook you up with him. Yes I mean it.
Nilimuelewa sana kwenye Ulimwengu Ndio Mama album. Huyo ni number one story teller katika bongo fleva. Hakuna anaweza kuga level zake.
 
Mwenyewe nyimbo ya jmo ft marehemu complex,dudubaya inaitwa "safari njema"
Aiweke humu Aise niskie
 
Cryptic as u have always been. Decoded message=Juma Mchopanga ameshapita hapo;)
 
No namfollow MKE wa PFunk, Kajala si alikuwa Suria na mwenzie Munira. Mke wa Pfunk anaitwa Katrinaalegra. Ana matusiiii huyooooo. Balaaaa.
Kumbe na wewe akanana unapenda hip hop.
 
Jay Moe alikuwa bonge la fundi. Nimeisikia hata pini yake mpya mpya ya Hili Gemu, jamaa bado fundi sana.
 
Nilimuelewa sana kwenye Ulimwengu Ndio Mama album. Huyo ni number one story teller katika bongo fleva. Hakuna anaweza kuga level zake.
salute sana, anayekubishia akasikilize ngoma inayoitwa STORI 3 KWA 1, "wakwanza ni ahmed, wengi walimwita medi/, mwite eddy kama unamhusudu na yeye ndo anavyohusudu,.......... mariam alikuwa ni mtoto aliyekuwa aliyekua na uzuri wa peke/, mm mwenyewe mmoja wapo kati ya waliotaka wajiweke/ ili anione mchumba wake,....... intro (INO alikuwa mtu ambaye usingeweza kudhani kwamba atakuja kutumia madawa ya kulevya....).japo siamini tetesi za jamaa kula sembe ila kama ni kwl mchopanga anakula ngada, basi atakua alijitabiria mwenyewe kwenye hyo verse ya INO,
 
Back
Top Bottom