Hivi jamani AU wapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jamani AU wapo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkodoleaji, Jan 29, 2011.

 1. M

  Mkodoleaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa wa AU hivi wapo?

  Maana sijasikia wakisema chochote kuhusu Tunisia. Vile vile kuna machafuko Misri wako kimya. Hivi AU wana matatizo gani au wanasubiri mpaka waambiwe na UN au Marekani kwamba shughulikieni pale?
   
Loading...