Mshkaji mmoja mjanja mjanja ambae ishu zake nyingi hazijulikan Ila anafanya kila biashara inayomjia mbele,,sio tajiri Ila ana ukwasi wa kuwamega mademu wote bongo movie,maana wale hakuna anaezid dola 1000 kwa sasa,,halaf alikua anajisifiga shemeji ya David Beckham ha ha ha ha