...not that how u think, kasome media laws. Sio tort tu
...not that how u think, kasome media laws. Sio tort tu
sio kila mtu anaweza kusoma au anajua hiyo Law of Tort kwa hiyo ilikuwa wajibu wako kumwelimisha ili ajue afanyeje siku nyingine anapokumbana na vitu kama hivyoKasome Law of tort, utakuta kitu kinaitwa nervous shock! Just do this homework and you will notice that ITV are behaving un professionally in that aspect and can be liable for damage(s) arising from nervous shock !
sio kila mtu anaweza kusoma au anajua hiyo Law of Tort kwa hiyo ilikuwa wajibu wako kumwelimisha ili ajue afanyeje siku nyingine anapokumbana na vitu kama hivyo
Watoto wenyewe wanaangalia movie za mazombie....
Mbona bongo movie na mapicha yao ya ajabu ajabu hamuongei!your just a st......p......d
Mmmhh!kumbe hiyo Television bado ipo!!!!!
Wee kweli mweu tena sanaaaaa
Media laws basic concepts zake hazijajikita kwenye maafa kama ya kufa, kuzimia etc -endangering human life from seeing those terrible pictures and the remedy thereafter. Media laws sana sana zinajikita kwenye media ethics-un ethical practices and the like!
...very sure, lakini what i wanted to show u, ni kwamba kuna vitu ambavyo hawa wanahabari wako protected by that law, (although it would be unethical sometimes)