Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

Nailed mkuu,kama ukiwa ndan kwako unatazama taarifa yao wakimaliza ya kitaifa automatically unastukia umeshka remote c na kuchange chanel. Na kama uko kijiwen utashangaa watu wanavyoamka kwa pamoja as if wamepanga kufanya hivo.
Ila michezo star tv ndo baba lao
 
  • Thanks
Reactions: G3T
habari za michezo wanazotoa ni za hovyo. maripota wao jimy Tara na Ester Sangai wanaleta habari za mabonanza tu yanayofanyika jimkana na makongo. kama hamna muda wa kutosha wa habari za michezo, basi anzisheni kipindi maalumu cha michezo saa kumi na mbili na nusu jioni. ushauri tu
 
Jenga utaratibu wa kutazama news katika media tofauti tofauti.mnakosa mengi kwa kugangania kutazama tv moja. ukitazama star tv wana news nzuri za kimataifa....

ukitazama channel ten saa 1:00 clouds saa 1:30 usiku,Tv1 azam na kisha saa 2 hata ukitzama news ya itv au star tv au tbc unapata yaliyojiri tanzania na duniani kwa ujumla.we unagangania itv tu.pole sana kwni kuna mengi hawaweki
 
Nashangaa kuona kituo cha habari ambacho mm nilikuwa nakiamini lakini sasa kinageuka karaha kwangu. Eti ITV ndo wa kupata habari moja tu ya kimataifa na mbili tu za michezo!!. Imekuwa hivi kila siku lakini sasa imenichosha ngoja niseme labda mtajirekebisha. Na kama mnabisha leteni hapa taarifa yenu ya habari ya leo tarehe 26/03/2015 saa mbili usiku. Habari za kimataifa ilikuwa moja kuhusu ndege iliyoanguka na habari za michezo ilikuwa ni kuhusu michezo ya timu yenu ya IPP kushinda mechi ya leo dhidi ya TBC na ile ya wanafunzi wa zanzibar. Hivi kweli hamna watu makini wenye uwezo kama kina Shafii Dauda kutafuta habari za michezo zilizopo kwa sasa za kimataifa? Mfano mtu aliyeangalia ITV leo mpaka mwisho bila kubadilisha anaweza kujua kama leo kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo Brazil atacheza leo? Huu kwangu mimi nauita uzembe na uvivu. Mjirekebishe la sivyo mtapoteza watazamaji.

Nakushauri uhamie T B C
 
ITV inakaribia kuwa zilipendwa kusema kweli
1. Habari za kitaifa zinatawaliwa sana na matukio ya Mh. Reginald Mengi hasa kama siku hiyo alikuwa na tukio lolote, hata kama halikuwa na umuhimu wa kuonekana kwa mda wa zaidi ya dakika tano.
2. Habari za kimataifa zipo shallow sana, kuna matukio mengi saana yanatokea duniani lakini hawawahabarishi watu kwa lugha ya kiswahili...! Wajaribu kuangalia Samadu Hassan anavyodadavua habari za kimataifa kule Star TV...
3. Habari za michezo nazo zipo shallo na hazina details kabisa.
Wengi wa watangazaji ni kama wamekaririshwa wakati wanasoma habari zao...
 
nashangaa kuona kituo cha habari ambacho mm nilikuwa nakiamini lakini sasa kinageuka karaha kwangu. Eti itv ndo wa kupata habari moja tu ya kimataifa na mbili tu za michezo!!. Imekuwa hivi kila siku lakini sasa imenichosha ngoja niseme labda mtajirekebisha. Na kama mnabisha leteni hapa taarifa yenu ya habari ya leo tarehe 26/03/2015 saa mbili usiku. Habari za kimataifa ilikuwa moja kuhusu ndege iliyoanguka na habari za michezo ilikuwa ni kuhusu michezo ya timu yenu ya ipp kushinda mechi ya leo dhidi ya tbc na ile ya wanafunzi wa zanzibar. Hivi kweli hamna watu makini wenye uwezo kama kina shafii dauda kutafuta habari za michezo zilizopo kwa sasa za kimataifa? Mfano mtu aliyeangalia itv leo mpaka mwisho bila kubadilisha anaweza kujua kama leo kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo brazil atacheza leo? Huu kwangu mimi nauita uzembe na uvivu. Mjirekebishe la sivyo mtapoteza watazamaji.
ukawa hawakuwa na kikao mkutano.... Mana ndo habari za itv ,ukawa na maovu ya serikali..
 
wanamatangazo mengi sana ya biashara ndio wanapunguza coverage ya habari. labda waongeze muda.
 
kama vipi wajiunge na dira ya dunia tujue moja yani wana keraaaa maswala ya BBC Swahili yana habari nzuri wao ni kuonyesha maji ya mejaa kila siku tu wakipata habari moja basi itabadilishwa hadi kero
 
yani habari za kitaifa zikiisha tu,huwa tunabadiri channel.wanaboa kwa kweli yani kama jana ndiyo niliboreka sanaa.
 
Mlitufurahisha sana kipindi hicho mkiwa mnaonyesha Club bingwa ulaya, mataifa ya Africa N.K sasa imekuwaje? au Mama Mhavile hana HOBBIES hizooo? Tamasha la michezo lenyewe Kwishini!!! Msiwe soooooo conservative.
 
nashangaa kuona kituo cha habari ambacho mm nilikuwa nakiamini lakini sasa kinageuka karaha kwangu. Eti itv ndo wa kupata habari moja tu ya kimataifa na mbili tu za michezo!!. Imekuwa hivi kila siku lakini sasa imenichosha ngoja niseme labda mtajirekebisha. Na kama mnabisha leteni hapa taarifa yenu ya habari ya leo tarehe 26/03/2015 saa mbili usiku. Habari za kimataifa ilikuwa moja kuhusu ndege iliyoanguka na habari za michezo ilikuwa ni kuhusu michezo ya timu yenu ya ipp kushinda mechi ya leo dhidi ya tbc na ile ya wanafunzi wa zanzibar. Hivi kweli hamna watu makini wenye uwezo kama kina shafii dauda kutafuta habari za michezo zilizopo kwa sasa za kimataifa? Mfano mtu aliyeangalia itv leo mpaka mwisho bila kubadilisha anaweza kujua kama leo kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo brazil atacheza leo? Huu kwangu mimi nauita uzembe na uvivu. Mjirekebishe la sivyo mtapoteza watazamaji.
kazi ya uandishi imewashinda wafanyakazi mahiri wameshawahama imebaki mizigo
 
Na eti habari kali ya uchunguzi ilikuwa ile ya Mangi wa kimara aliyekufa kwa shoti ya umeme yeye na nduguye wakati wakisukuma gari! Hiyo nayo ni habari ya uchunguzi kama ya Mohamedi Ally@jicho pevu.!

Halafu mtangazaji alivyokuwa anajimwayamwaya na mic mbele ya duka la marehemu nimkama alifurahia sana kvifo hivyo,yaani uhusika ni bureeeeee
 
Pole,mm nadhani Tv ya kuangalia kuhusu habari ni star tv,na tisa kumi habar zao za michezo wanajitahid sana,binafsi star tv ndo pekee naweza kuangalia taarifa ya habari
 
Nashangaa kuona kituo cha habari ambacho mm nilikuwa nakiamini lakini sasa kinageuka karaha kwangu. Eti ITV ndo wa kupata habari moja tu ya kimataifa na mbili tu za michezo!!. Imekuwa hivi kila siku lakini sasa imenichosha ngoja niseme labda mtajirekebisha. Na kama mnabisha leteni hapa taarifa yenu ya habari ya leo tarehe 26/03/2015 saa mbili usiku. Habari za kimataifa ilikuwa moja kuhusu ndege iliyoanguka na habari za michezo ilikuwa ni kuhusu michezo ya timu yenu ya IPP kushinda mechi ya leo dhidi ya TBC na ile ya wanafunzi wa zanzibar. Hivi kweli hamna watu makini wenye uwezo kama kina Shafii Dauda kutafuta habari za michezo zilizopo kwa sasa za kimataifa? Mfano mtu aliyeangalia ITV leo mpaka mwisho bila kubadilisha anaweza kujua kama leo kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo Brazil atacheza leo? Huu kwangu mimi nauita uzembe na uvivu. Mjirekebishe la sivyo mtapoteza watazamaji.

Mkuu kama hujagundua ni kwamba...kituo cha Itv hakina mtangazi anayeweza kufanya translation ya lugha kutoka kiingereza kwenda kiswahili..finish!

Habar nyingi tu! ila ndio hivyo tena..
 
Back
Top Bottom